Mama wakwe mtuhurumie na sisi tumezaliwa kama mlivyowazaa waume zetu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,267
Huyu shost ameolewa na mume ambae kwao ni the only son ana madada wanne kama hiyo haitoshi mwanaume ni PhD holder. Maisha na mume wake yanakwemda vizuri sana lakini tatizo mama akija kusalimu anaanza kule kwa dada zako wameolewa tu hapa ndiyo kwangu kwa mwanamgu wa kiume.

Basi mama atamuuliza mwanae unakumbuka nilikuwa nikiwapikia tambi za prawns ulizipenda sana basi kesho nitakupikia. Mama anasahau kabisa kuwa jiko lile tena limeshapata mwenyewe na akitaka kupika amufahamishe mwenye nyumba yake.

Kali kuliko shost ananiambia anapotaka kutumia choo tu ndipo mama mkwe anapotaka kutumia choo mwisho unatoka chooni na shida zilizokupeleka kumpisha mzaa chema.
 
Huyu shost ameolewa na mume ambae kwao ni the only son ana madada wanne kama hiyo haitoshi mwanaume ni PhD holder.
Maisha na mume wake yanakwemda vizuri sana lakini tatizo mama Alina kusalimu anaanza kule kwa dada zako wameolewa tu hapa ndiyo kwangu kwa mwanamgu wa kiume.

Basi mama atamuuliza mwanae unakumbuka nilikuwa nikiwapikaia tumbo za prawns ulizipenda sana basi kesho nitakupikia.


Mam anasahau kabisa kuwa jiko lile tena limeshapata mwenyewe na akitaka kupika amufahamishe mwenye nyumba yake.

Kali kuliko shost ananiambia anapotaka kutumia choo tu ndipo mama mkwe anapotakakutumia choo mwisho unataka na shida zilizokupeleka kumpisha mzaa chema.
ngoja waliokuelewa watakujibu si kwa uandishi huu
 
Sky kuwa the only son kuna raha zake. [Unanyan'ganyanwa]

Sio kwa mama, bibi, dada hadi mke. Mwambie shosti avumilie tu au anaona wivu.?
Ni kweli unakuwa golden boy of the family
 
Huyu shost ameolewa na mume ambae kwao ni the only son ana madada wanne kama hiyo haitoshi mwanaume ni PhD holder.
Maisha na mume wake yanakwemda vizuri sana lakini tatizo mama akija kusalimu anaanza kule kwa dada zako wameolewa tu hapa ndiyo kwangu kwa mwanamgu wa kiume.

Basi mama atamuuliza mwanae unakumbuka nilikuwa nikiwapikaia tambi za prawns ulizipenda sana basi kesho nitakupikia.


Mama anasahau kabisa kuwa jiko lile tena limeshapata mwenyewe na akitaka kupika amufahamishe mwenye nyumba yake.

Kali kuliko shost ananiambia anapotaka kutumia choo tu ndipo mama mkwe anapotakakutumia choo mwisho unatoka chooni na shida zilizokupeleka kumpisha mzaa chema.
Kuna mahala kumenitia ukakasi, mwanaume ni PhD holder means hata maisha yake ni mazuri ila uliposema kuhusu kutumia choo kimoja umeniacha njia panda. Inamaana mama mkwe wanalala nae chumba kimoja? Inamaana hiyo nyumba haina master room kwaajili ya mume na mke? Inamaana nyumba hiyo ina choo kimoja tu public kinatumiwa na wote? Kama ni hivyo basi PhD yake haiendani na uhalisia wa maisha yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mwishoni ndio nimebaki hoi!
Yaani mama mkwe akiona shost yako anataka kwenda kukata gogo na yeye anawahi chooni! hahahaaahhahah. Kumbe wote wanapata haja kwa wakati mmoja.
Yote kwa yote ndoa ni kuvumilia na kuvumiliana.
Ninaona mama mkwe hua anakomoa tu
 
Hapo mwishoni ndio nimebaki hoi!
Yaani mama mkwe akiona shost yako anataka kwenda kukata gogo na yeye anawahi chooni! hahahaaahhahah. Kumbe wote wanapata haja kwa wakati mmoja.
Yote kwa yote ndoa ni kuvumilia na kuvumiliana.
Naona mama mkwe huag anakomoa tu
 
Back
Top Bottom