Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,661
Kati ya kitu kinacholeta kasi ya mvuto na hamasa kwenye mapenzi ni chupi ya mwanamke. Mimi mwanamke akivaa, mfano tu hizi;
DKNY Signature Lace Bikini Panty 543000 at BareNecessities.com
Wacoal Halo Lace Thong Panty 879205 at BareNecessities.com
Isiwe kubwa sana mpaka inafunika tumbo, irudie kiunoni, na chini immediately baada ya kufunika makalio, lol i like that. Kumbuka pia texture ni muhimu, sio chupi ina ukakasi kama unga wa katani!
Huo ni moja ya ulevi wangu. tatty lazima nikuletee moja maalumu ile siku ya mkutano.
Ulevi wako kwa upande wa chupi za kike ni upi?