Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natumai hamjambo wananzengo Wakuu wanaume wengi tumekua tukilichukulia poa sana suala la kupiga deki (kuzama chumvini) akati ni jambo muhimu sana katika ndoa/mahusiano ya sasa. Imagine upo...
4 Reactions
55 Replies
10K Views
Mimi ni Jibaba mwenye watoto watano, Kila mmoja na Mama Yake, na Kila mmoja anakaa kwake na mwanawe na Mimi nakaa upenuni kisela. Juzi Kati nilicheza bahati nasibu moja ya nje na kushinda USD...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Swali toka kwa mdau mmoja hapa ofisini leo asubuhi, anasema anautaratibu nyumbani kwake wa kutoa matumizi ya kawaida kwa mwezi kati ya laki nne hadi sita kutokana na mwezi umeenda vizuri vipi...
9 Reactions
183 Replies
14K Views
So ni hivi, leo mida flani nikajisogeza mahala flani huku kwetu kwa lengo la ku swim kidogo na kupata ka kinywaji kagumu, actually sija-swim nilikua nawaangalia tu wadada wakiswim. Basi ikafika...
7 Reactions
86 Replies
8K Views
Juzi kuna uzi uliwekwa na jamaa anadai anamahusiano na dada yake, Nahisi huyo jamaa anaweza kuwa ni shemeji yangu kama sio yeye basi anisamehe. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya udukuzi wa simu...
13 Reactions
164 Replies
30K Views
Natumai hamjambo wananzengo. Wakuu leo napenda kuizungumzia nguvu ya ushawishi katika mapenzi, hapa kila jinsia ina nguvu yake ya ushawishi katika mapenzi hivyo ni vyema kila mmoja wetu akaijua...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Unapotoka kwenye mihangaiko yako, labda kazini au katika kusaka shughuli mbalimbali za kujipatia kipato, na kurejea nyumbani labda jioni au usiku. Je, mpenzi wako huwa anakupokeaje, na huduma...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Marriage does not turn as expected, it is more of a game of chance. Not all couples are living the dream, some are living in hell on earth. Marriages are created by God Almighty and finding a wife...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wanajf. Nashukuru kwa michango yenu ya ushauri juu ya swala langu kwenye uzi wa "Nakimbia ndoa-Naogopa kuua". Nawashukuru sana na heshimu sana mawazo yenu. Kwakua huyu mwanamke amekua sio...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Habarini wanaJF. Nimatumaini yangu muwazima wa afya wote Lengo la kuandika Uzi huu ni kupenda kuwasaidia ama kuwapa moyo watu mbalimbali hasa vijana juu ya yale wanayoyapitia katika maisha yao...
2 Reactions
5 Replies
877 Views
Habari za humu wakuu. Natumai mko poa wa afya Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu Nimewahi kusikia hizi habari kwamba wanawake huwaga baadhi wanawafunga...
3 Reactions
71 Replies
8K Views
Unakuta mume unamfulia,mpikia,kumung'arishia nyumba na wewe unawaka kama nini baadae nikiwa namuandalia chakula nikasikia simu yake inaita. Kusikiliza ni mchepuko. Haloo. Binti mbona...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu. Poleni na mihangaiko na corona pia...Mola atusaidie kuvuka hili jaribu. Mimi napenda sana mapishi.Na home wanalijua hilo. Napenda sana kula vitu vizuri. Navutiwa sana na mwanamke...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Wanawake hili fursa yenu mjifunze mapenzi yadhati sio mapenzi ya kupenda pesa kuliko kumpenda mtu au mwanaume anaweza akatokea ukapendana naye lakini kutokana na kutoeleewa dhumuni au jambo muhimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya. Kiukweli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa unakuta mwanamke yupo bize na dressing table muda wote anajipodoa ila kupika zero Mwanamke ana makucha marefu hayakati huo ni uchafu. Jifunze kupika, nenda YouTube ujifunze kupika chakula...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kila mmoja ana namna yake ya kupenda. Mimi yangu niwe na mrembo muda wote tu, nikikupenda hata sipitii kijiweni moja kwa moja home, mengine nyongeza. Nilishakutana na mwanamke ambaye kwake...
11 Reactions
215 Replies
13K Views
Katika hali isiyo ya kawaida kabisa Jana jioni katika Vichaka vya iliyokuwa Tanganyika Packers Kawe aliokotwa Mtoto wa kati ya miaka Miwili hadi Mitatu wa Kiume akiwa ametelekezwa hapo na Mama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila mtu ninayempenda nahisi ananidanganya, inafika hatua naona bora nibaki single tu. Kwani kina Lipumba hawapo? Mbona wapo single. Najiuliza kwanini nipende wakati naowapenda wanaliwa na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…