Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jana nilikutana na class mate wa utotoni. Tuliachana tukiwa shule ya msingi, mzee wao alistaafu walirudi kwao huko mikoa ya Bara. Huyu rafiki alikuwa mmoja wa vipanga darasani na aliitendea haki...
16 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu mambo niaje. Niende moja kwa moja katika mada, kumekuwa na mahusiano ya siri sana unakuta mtu kaanzisha mahusiano na binti fulani au mvulana fulani lakini mahusiano hayo ukute dada...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu, niwatakie Eid mMubarak kwa waislam wote, bila kupoteza muda nije kwenye maada, je umewahi kusoma chuo mpaka ukahitimu bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi pale chuoni yaani...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna wanawake wanahatarisha maisha yao na kama wanaume ndio wanawashauri hivyo wakiwa huko mafichoni basi wamechemka Mwanamke unakuwa na mchepuko na mume wa mtu halafu unatumia mbinu mbalimbali...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
natumai hamjambo wanajamvi. binadam tumeumbwa na matamanio na kuna mda tunatamani hata visivyotuhusu, je ushawahi kumtamani rafiki wa mpenzi wako? na je ulifanyaje baada ya kumtamani? kwa upande...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mi binafsi nimeona ni bora kumtongoza yule usiyempenda. Ninayempenda kutoka moyoni sitakuwa tayari apunguze au akate kabisa urafiki endapo atanikatalia. Ninayempenda kutoka moyoni sitakuwa tayari...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Natumai hamjambo wanajamvi. Wakuu nina changamoto ndogo katika ndoa yangu japo sijaipatia ufumbuzi hivo naileta kwenu ili nipate utatuzi. Ipo hivi, ninamke tangu nimemuoa hobi yake kubwa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
ACHA KUUTESA MOYO WAKO Naomba Nisikilize Dada Yangu Kipenzi, Unajua Inashangaza Pale Ambapo Mwanamke Mrembo Unang'ang'ana na mwanaume Ambaye Hata Hana Muda wa Kukufikiria. Yaani Unapoteza Muda...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
How We Ignorantly Destroys Our Marital Home. Rev. Funke Felix-Adejumo --------- Many of you, even though your husband's are physically alive, some of you have killed them with the way you speak to...
5 Reactions
4 Replies
744 Views
Unatakiwa Umzidi mke wako mambo matatu. (3) (1) Umri (2) Akili (3) Pesa Mke wako anatakiwa akuzidi mambo matano (5) (1) Subira (2) Usafi (3) Upendo (4) Mipango (5) Maombi Na Mnatakiwa muwe...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
12 THINGS YOU MUST NOT DO AS SOON AS YOU GET MARRIED By Pst Bisi Adewale There are many things an unmarried person will do and go away with it, but once you are married, it comes with the...
2 Reactions
1 Replies
852 Views
Wakuu salaam?? Leo nakuja tena na uzi wangu huu Natafuta mchumba aliye serious na uchumba Mimi ni mwanaume Miaka 27 Mrefu wastani ,Mweusi wastani Najishughulisha na biashara za hapa na pale...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Embu tuambie hapa, kitu gani kinacho kufanya uchepuke kwa mpenzi au mme/ mke wako? Mimi huwa nachepuka pale mpenzi wangu anavyo kuwa mbali Na mimi.
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Wanabodi habari za jumapili, Jana usiku niliota nimepata mtoto wa kike mzuri sana mama yangu mzazi akiwa amemshika akimbembeleza. Sasa leo hii asubuh napewa taarifa hizi kutoka kwa mpenzi wangu...
0 Reactions
64 Replies
9K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30, sijaoa lakini niko kwenye mahusiano na Dada mmoja ni mwaka wa nne sasa. Nina kazi nzuri tu na kipato kizuri na kwakweli najitahidi kumhudumia huyu Dada kwa kila kitu...
3 Reactions
78 Replies
7K Views
Katika jamii yetu ni kawaida kusikia mwanaume akisema sifungi ndoa mpaka nimiliki kitu flani mfano nyumba au gari n.k. mtazamo wa mwanaume huyu katika jamii asilimia kubwa watakubaliana naye...
0 Reactions
4 Replies
687 Views
Kwanza nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuniponya na hili janga weekend iliyopita. Mimi Kama kijana nipende kuwashauri vijana wenzangu kuwa waache pombe japo ni ngumu sana...
15 Reactions
93 Replies
11K Views
Salam Wana MMU. Baadhi ya wanandoa baada ya kufunga ndoa na kukaa miaka kadhaa na wengine hata bila kukaa sana kuna hii shida huwa inajitokeza:- Baadhi wamekuwa wakipoteza Pete zao za ndoa...
0 Reactions
55 Replies
16K Views
Niliwahi kujiuliza kama iko siku na mimi nitapata nafasi ya kusimulia popote pale mkasa uliowahi kunikumba miaka ya nyuma. Ni kuhusu mke wangu niliyefunga naye ndoa ya serikali. Nilibaini kwamba...
20 Reactions
321 Replies
357K Views
Jamani wanajamii wenzangu, Embu nisaidieni mawazo. Mimi ni binti wa miaka 34 very attractive, nafanya kazi nina elimu yangu na ni mkristu mzuri. Tatizo ni kwamba ninaishi mbali na watu wa...
2 Reactions
89 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…