Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu hii imekaaje? Kuna huyu mwanamke niliwahi kuwa naye miaka hiyo, kwa sasa kashaolewa na ana watoto wawili. Miaka kama miwili nyuma alinitafuta, nikaona sio kesi tukaanza kuwasiliana japo...
10 Reactions
77 Replies
9K Views
Wakuu habari za mchana, niende moja kwa moja kwenye mada husika. Juzi kati nilikuwa napiga stori na mama mmoja hivi kiumri uyo bi mkubwa kwenye 56 hivi. Sasa alikuwa ananiadisia mkasa mmoja...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Najua wengi hamuwezi kuamini lakini kuna ka utafiti nimekafanya nimegundua wanawake wengi wa siku hizi wanawadhalau sana wanaume zao Tofauti na miaka ya zamani je tatizo linakuwa ni nini na nini...
4 Reactions
74 Replies
11K Views
Nimeachana na mpenzi wangu lakini nilifahamika kwao kwa sasa nipo shule nimeondoka bila kuwaaga wazazi wake na nilishawazoesha nikiondok nawaambia nikirudi nawaambia. Nimerudi sasa nifanyeje...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wazee wenzangu, Ukiwa na mchumba na umesha mvika pete ongeza umakini zaidi ya awali, wengi wanakuwa wapole sanaa balaaa ukisha muoa yani inakuwa ni kama vita ya jihad. sijui kwanini inakuwa...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Nina wazo wakuu Tuanzishe umoja wa kila Rika tukifika miaka 40 kwa kudura za Mwenyenzi Mungu tuende Dubai,China au South Africa au popote tu Nitaweka link za miaka Kama tutaafikiana ili watu...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Natafuta mke wakuoa! Mwenye Mapenzi Mema,Mcha Mungu Mimi nina miaka 34 kwa sasa,nipo Dodoma nafanya kazi serikalini, Dini yangu ni Mkiristo Roman Catholic Sifa za mke! Mwenye mapenzi mema,mcha...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilianza mapenzi nikiwa kidato cha tatu, nilipofika kidato cha tano ndio nilikutana na changamoto, lakini sikulazimisha nilikaza nikaendelea na maisha kiasi ambacho badala ya kuumia mimi akaumia...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
If SEX can make a man, marry you then all prostitutes would be married. A man commits where he has PEACE. Be his PEACE & he'll run to you be his WAR & he'll run from you
16 Reactions
59 Replies
6K Views
Babu akiwa na mjukuu wake akamuusia yafutayo juu ya mwanamke/wanawake 1. Mwanamke yoyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa mama yako 2. Wanawake wote huonesha UPENDO wao wazi wazi isipokuwa...
7 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna mwanamke wa uswazi hapa kwetu, uswazini nimetokea kumpenda. Nikamsimamisha maeneo fulani kuongea nae, nikamtongoza, akanijibu nyodo. Sasa kwa sabu mi nampenda nataka nitumie njia ya zawadi...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimeona post ya tukio hili sina latest ila naendelea kufuatilia. Nini tatizo?
2 Reactions
186 Replies
13K Views
Salaam wanajukwaa, Hii ni kwa wanaume. Kama mke, au mchumba wako anakusifia kwa watu kwamba wewe ni muelewa, shituka kuna sehemu unazembea na mbele ya safari itakugharimu. Nimekua natafiti...
9 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari ya asubuhi wakuu.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Mimi nina umri wa miaka 33 na mke wangu ana umri wa miaka 31.Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado...
27 Reactions
197 Replies
20K Views
Sisi binaadamu tunajipenda sana, katika kujipenda kwetu ndio maana tuko tayari kuwaona wengine wakiumia ili sisi tuone raha, yaani kuna watu wengine hufurahi sana kuwaona wengine wakiumia kihisia...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi inakuwaje watu wanababuka midomo?yaani midomo inakuwa na wekundu hivi kama kaunguzwa moto,,halaf nimechunguza nikagundua watu walioathirika na HIv wengi wao wamebabuka midomo sijui ni...
6 Reactions
185 Replies
21K Views
Habari wana JF kila abiria achunge mzigo wake! Ushindani ni mkubwa sana haswa ukiwa na mwanamke mkali Mwanawake wakali wana pitia visha wishi vingi sana ila kusema ukweli mwanamke yeyote mwenye...
10 Reactions
106 Replies
20K Views
Habari wana JF Mimi ni binti wa miaka 22. Nmemaliza elimu yangu ya shahada mwaka huu.Kuna jambo fulani limetokea kuniumiza sana labda kwasababu nilikuwa nmesha expect something.Kuna familia flan...
22 Reactions
182 Replies
13K Views
Habarini. Kuna ile hali ya baadhi yetu, huwa katika kila mahusiano mapya unaingia unajikuta hayadumu hata ukijitahidi kuwa vizuri maeneo muhimu. Na hata ukijituma bado utajikuta ndani ya huo...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari za mchana huu wadau na wapenzi wasomaji, Nikiwa kwenye pilika pilika za kutafuta mwenza wa maisha (mwanamke) sehem yotote nitakapompatia hata hapa jf kama yupo mimi namkaribisha PM tuone...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom