Kuumia kwenye mapenzi ni swala la uamuzi

Jul 11, 2020
64
139
Nilianza mapenzi nikiwa kidato cha tatu, nilipofika kidato cha tano ndio nilikutana na changamoto, lakini sikulazimisha nilikaza nikaendelea na maisha kiasi ambacho badala ya kuumia mimi akaumia aliyeniacha

Tangu hapo nilijifunza, kwamba nikiwa kwenye mapenzi nifurahie tu moment ambayo nitakayokuwa nayo bila kuwaza kwamba lazima niwe na mtu husika hadi kesho. Hivyo nilijifunza kumpenda mtu akiwa na mimi na the moment akibadilika nabadilika, ilikuwa hivyo hata nilipoingia na kwenye mahusiano ya pika pakua yaani mnakaa pamoja.

Niwape ushauri vijana mnaokuja juu

1. Ukiona mtu anasema anakupenda sana, usiamini kirahisi mfuatilie. Hii stori ilinikuta chuo kuna mwanamke alikuwa kila mara ooh nakupenda ooh mimi sikuachi, nikaamua kumhack kwenye accounts zake, mambo niliyoyakuta huko yalikuwa ni shida.

Baadae nikakuta nina uwezo wa kuingia kwenye accounts za watu wengi, aisee mambo ninayoyaona kwenye mitandao ni mengi, wanawake kwa wanaume are so free kuongea kwa michepuko kuliko kuwa wawazi kwa wanandoa wao. Hapa niligundua ndoa ni fake

2. Jitahidi, usidhani kwamba uliyenaye unaweza kumbadilisha kwa lolote, penzi likigoma achana nalo, kulazimisha mapenzi kwa wengi imewasababishia majanga mengi ikiwemo kifo, wewe furahia upendo ukiwepo, upendo ukiisha kama muwa tu, tupa ganda

3. Usiwe emotional, hii iwe ni kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine huwafuatilia wapenzi wao, aisee kila mtu ana mambo mengi sana, ukigundua anayofanya mtu wako usikasirike kubali kama unaweza nenda nayo kama hauwezi achananaye

NB: Msipende kuhack simu za wapenzi wenu
Kuhack simu sio tu ni kinyume kisheria bali ina majanga mengi, hasa kwa watu ambao hawawezi kuchunga hisia, usishangae mtu anakusifu ukiwa kifuani, na kuna mwingine anamsifu hivyo hivyo

Pale juu nimesema mfuatilie, hii ni pamoja na kumpa mitihani na sio kuhack. Hacking inafanya uone uwazi wa mtu wako uwazi wote, kuna shida, lakini pia mara nyingine unaweza kuona mtu wako anatongozwa na watu wako wa karibu, hii inaweza kuharibu mahusiano yako na watu wengine

Aisee watu wanatongozana kinoma sio shemeji sio nani, watu wanataka wafanye yao, nimeona hili sehemu nyingi sana, do not ever try utagombana na wengi

From my experiance I tell you my youngs,
 
Bus Kutoka Tanga Na Majina Mazuri
Burdan, Raha Leo, Bembea, Hanein, Simba Mtoto, Maraha
 
Una uhakika gani hii hadhira ya JF ina wadogo zako? What if kama wewe ndiyo mdogo wetu? Au kisa ulianza ngono secondary basi ndiyo unajiona mkubwa mwenyewe!!


Anyway umeeleweka..
Hivi mwanamke ukawa unaliwa vizuri na mpenzi wako kwa namna ni lazima ufike kileleni na ikawa sio mara moja ni kila mara, je huwa mnatesekaga sana punde mkiachwa huwa mnayamiss yale mahaba au huwa mnaweka ukauzu tu
 
Duuuu nilikwa silijui hilo... nimejikalia zangu nauguza madonda ya kuachwa kumbe natakiwa ni muvu oni!!! Na hivi leo Ijumaaa... uwiiii acha nijiandae mie... najipa mtoko wa nguvu leo.....Thanks!
Hizo swaga ni za wakina jane usiuchoshe ubongo
 
Duuuu nilikwa silijui hilo... nimejikalia zangu nauguza madonda ya kuachwa kumbe natakiwa ni muvu oni!!! Na hivi leo Ijumaaa... uwiiii acha nijiandae mie... najipa mtoko wa nguvu leo.....Thanks!

Mkuu nipo singo. Karb tuanze safari pamoja.. Nawish wew n ' Ke '
 
Back
Top Bottom