Hi to all. Me ni mwanaume 30 years of age, mrefu kiasi, Rangi mnaita Maji ya kunde au mweupe kiasi, naishi dar currently, nimeajiriwa in small private company. The problem ninayo naona ni very...
Wana MMU newz zenu.
Muondoe stress kidogo! Halafu sasa ujue mapenzi yana ndumila kuwili sana yaani yana nyakati/moments za kufurahisha na zisizofurahisha..
Sasa leo semeni zote zinazofurahisha...
Habari wapendwa mimi kijana ambaye ni mwenye umri wa miaka 25 kwa sasa,si mtu ambae nilipenda kudinya dinya katika maisha yangu,,kwa sasa nataka nioe lakini bado sijapata mtu sahihi wa kuingia nae...
Habari zenu,
Nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
• Hasira za mara kwa mara katika mambo...
Habari wana JF,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ila leo nataka mnitajie sababu zilizo tofauti na (ukosefu wa pesa na Kutokumridhisha kwenye tendo ) nitajie sababu nyingine zinazoweza kumfanya...
Habari wakuu?
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 32,nilikuwa naishi na mzazi mwenzangu ambae tulibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka miwili sasa.mzazi mwenzangu ni mtu kutoka...
Ilikuwa ni mida ya saa 10 ambapo nimekutana na Ex wangu ambaye penzi letu lilikufa kimya kimya aliniita tuzungumze na haya hivi ndivo ilivokuwa
Tulisalimiana tukaongea mwisho wa siku akaomba...
Habari zenu watu wa Mungu, mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 39, ninahitaji mwanamke wa kuoa, nawakaribisha sana wanawake wenye uhitaji wa dhati wa kuolewa.
Wasifu wangu nikama ifuatavyo...
Kuna binti nilikuwa nampenda sana mpaka naye alijua kuwa nampenda sana naona kujua kuwa nampenda sana akajawa na fikira potofu kuwa siwezi fanya uamuzi wowote juu yake hata akifanya ujinga...
Kiukweli toka tuwe kwenye uhusiano sikuwa naona tatizo lolote kwa sababu tuliahidiana kupendana na sivinginevyo, nayeye yote aliyonifanyia ilikuwa nikunionyesha nikiasi gan ananipenda. Baadaye...
Habari zenu
Kwahili ninaloenda kuwasimulia sina budi kwa kumshukuru M/mungu kwa kuniumba mimi mwanamke. Maana nahisi kuna ahueni kua ke kuliko me
Kwanza nyie wanaume mlizikage na wake zenu hiyo...
Kwa wale vijana wenzangu mliopo ndani ya mahusiano ukiona katika mahusiano yako hakuna upendo tambua ya kwamba hapo hakuna cha future wala maisha
Unapoona mwenza wako amefikia hatua upendo wake...
Hebu pata kisa kimoja kutoka kwa rafiki yangu wa karibu. Kama miezi miliwi iliyo pita jamaa angu fulani alikutana na mkasa mmoja wa demu wake kumwambia kuwa ni mjamzito.
Basi bana mshkaji alikuwa...
Katika maisha yangu sikuwahi kutarajia utatoka siku nitakuja kulia na kusaga meno kwa ajiri ya mapenzi na kupoteza mwelekeo wa maisha.
Imefika hatua unaona sasa uchukue maamuzi magumu ya kujiondoa...
Hodi kwa wakubwa.
Baada ya miaka mingi kumtamani huyu dada mwenye asili wa kinyarwanda basi jana nikampata tukapata diner mpaka sa 6 usiku akaniomba nimdrop kwake badi na YAMAHA yangu mtoto...
Baadhi ya wanaume tunalaumiwa kushindwa kuwapendezesha wake zetu lakini kwa nini hasa maana akipendeza wababe wanamtamani wanamshawishi wanammega. Usipompendezesha wababe wanampendezesha kisha...
Habari wapendwa. Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 32. Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza jukwaani kutafuta mume kwenye Nia ya kweli.
Uwe Mkristo mwenye hofu ya Mungu
Uwe na Umri kuanzia 35-49.
Uwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.