Ni wakati ambao Alarm iliotumika kuniamsha ilikua jogoo linapowika, saa yangu ya mkononi ilikua kivuli changu, kadri kinavyokua kirefu au kifupi na kuhama upande niliweza kubaini sasa ni saa ngapi...
"Panya Magawa yupo 'single' kwa sasa, kwenye vitengo kuna panya maalum kwa ajili ya kuzalishaji na tunawatambulisha kwamba huyu ndiyo mwenzake kama atakubali sawa maana anaweza kukataa na utaona...
Mapenzi ni kama kahawa,ladha yake ni nzuri yakiwa ya moto,lakini yakipoa ni raha na karaha.Viola, msichana mrembo mwenye mguso wa ajabu kwenye mioyo ya wanaume,anahaidi kuolewa na John...
Binafsi nilijaribu kuchepuka ( dhambi kwa mujibu wa imani yangu, na nimetubia hii dhambi sitoirudia tena hadi nakufa).
Huwa anajua nikibanwa na majukumu sana na muda ukiwa umeenda huwa nachukua...
Wadau wangu wa JF nina mjadara mdogo kidogo ninaomba kushare na nyiny ni hiv
Kuna dem niilikutana nae chuo first year dem mzuri ambae anasifa zote ambazo kila mwanaume atahitaji kuwa nae katika...
Sikuhz mwanamke mwenye kalio kubwa kwangu ni kma kichefu chefu tu. Sitaki hata kuwaskia hwa dada wenye mitako. Kwanza papuchi zao wengi ni za barid afu kitandani wengi ni MAGOGO bora ukutane hta...
Habari wanaJf.
Natafuta mke wa kuowa ambaye ni Mchamungu hata kama akiwa mgumba ni sawa tu. Nina watoto 4 (age yao ni 6yrs to 13). Mimi nina miaka 43. Mimi ni muislam wa vitendo na ninaishi Dar...
Mke wangu mtarajiwa, ambaye nimepanga nimuoe, hakika anajifua vilivyo ili kuingia kwenye ndoa. Kwanza hana mambo mengi, msikivu na mstahimilivu wa nyakati zote, akipokea mshahara wake ananipa wote...
jamani hii hali inaniumiza kila nikipost picha ya mwanaume X wangu anaonesha kukasilika sana hataki nipost picha za wanaume anasema nimu hide ili asione status zangu
Habari ya majukumu wanajukwaa wenzangu, ni msichana ambaye nimetumia muda mrefu sana kumpata tangu nikiwa sina kitu hadi sasa hivi angalau kidogo nasema nina uhakika wa matumizi ya kawaida ya...
Wakuu, habari za wakati huu?
Naomba kupewa dondoo kuhusu suala la pete ya uchumba.
1. Pete ya uchumba ni lazima mvalishane hata kama tayari mnaishi wote?
2. Pete ya uchumba lazima umvalishe...
Unaamka zako asubuhi, unakuta fundi kakutext ' Mambo ' . Basi unajisemea mwenyewe ' Kudadeki ' Mambo si haya sasa.
Unachat kwa dakika kadhaa kisha unamuomba aje site, bila hiyana anakujibu poa...
Habari ya wakati huu,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza ,naomba wenye uzoefu kuhusu dating site hiyo ya Ukraine.je kuna yoyote ambaye kafanikiwa kupata mwenza kwa hiyo site,Maana nimeingiwa na...
Habari zenu ndugu zangu wana JF ni siku nyingine mpya ya Alhamisi iliokucha vizuri baridi ikiwa inapotea potea baada ya kupausha tangu june.
Niende moja kwa moja kwenye Mada kama kichwa...
Mapenzi ni kama mchezo wa kandanda unaombea team yako ishinde na wapinzani wako wanaombea team yako ishindwe pia.
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha...
Mapenzi bhana.
1. Wakati wewe unahangaika kumbembeleza awe na wewe, yeye pia kuna mtu anambembeleza asimuache.
2. Wakati anakwambia wewe sio wa hadhi yake, kuna mtu pia anamwambia yeye sio wa...
Wasalaam bandugu ba JF. Natumai mu wazima nyote
Leo ningependa tushare utani tunaopenda kutaniana na wapenzi wetu.
Kwa upande wangu napenda kumtania mama Ilumba kwa kumwambia "BABA YAKO...
Habari za muda huu wapenzi wasomaji wa thread hii? Natumaini muna heri ya maisha yenu...
Mapenzi hayatonisumbua tena!!! Nimeishi na mwanamke wangu pika pakua kwa miaka miwili bila ndoa, Na katika...
Habari kwenu mabibi na mabwana!
Naandika mada hii nikiwa na hasira kali sana (nivumilie kwa lugha yangu).
Hivi karibuni nimekutana na kitendo cha kishenzi kimenishangaza, kimenifedhehesha zaidi...
Habari za wakati wakuu? Naimani wikiend ilianza vzuri na inaishia vizuri kabisa. Pole kwa wale ambao imewaendea vibaya ni sehemu pia ya maisha yetu kama binadamu
Nmepata msukumo wa kuleta hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.