Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,884
Nina wazo wakuu
Tuanzishe umoja wa kila Rika tukifika miaka 40 kwa kudura za Mwenyenzi Mungu tuende Dubai,China au South Africa au popote tu
Nitaweka link za miaka Kama tutaafikiana ili watu wajoini kuweka mikakati poa