Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Buddies... In life we all have relationships, desired or accidental!! and at one time we have to call quit, and most important we need to part peacefully and respectfully, as a sign of...
3 Reactions
113 Replies
13K Views
Mwanaume unapokuwa huna pesa ajira na maisha bora katika mahusiano yako kaa ukijua unatengeneza kabuli na jeneza katika mahusiano yako kuelekea kifo kama huna moyo dhabiti Ukweli ni kwamba...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Changamoto za kimaisha frustration za kazini na stress za madeni vinatukosesha uhondo mwingi Jamani Tunarudi kazini uko hoi pengine na wife naye hivyohivyo kila mmoja ana stress zake mnajikuta...
2 Reactions
78 Replies
11K Views
Niaje wana jf,,nkumbuka nliandka uzi wa kutafta girlfriend miak 18-24 na MUNGU alnsaidia nkampata mtu hum ndan(stomsema jna) alkua na miak 25 kanzid miak 5..nmekaa nae kwenye mahusiano huku...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Huku kwenye corporate world imekuwa ni kawaida kabisa kukuta wanawake wengi wamezalishwa watoto, kwa namna moja ama nyingine hao waliowazalisha, ama wametengana, ama wengine wamezaa na waume za...
6 Reactions
70 Replies
6K Views
Ukipewa namba na mtu mwingine ili kuepuka swali hili la kizushi (namba yangu umetoa wapi?) chakufanya mtumie muamala mfano 200,000/- Baada ya dakika chache mpigie na kwa upole mwambie kuwa...
58 Reactions
291 Replies
29K Views
Mimi nawaza nina mtoto wa kike...itokee Kijana au Mtu Mzima flani anamsumbua binti yangu kimapenzi. Ntakapomkamata jamaa na ushahidi. Ntamfunga mikono na pingu au kamba imara sana...ye si...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nilikuwa najiamini kuwa mimi ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu. Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri...
41 Reactions
340 Replies
28K Views
Nikiwa ni mwanandoa miaka minne sasa namshukuru Mungu kwa hili. Ila katika tasnia hii ziko tabia ambazo zinavumilika na nyingine ngumu kuvumilika. (Hutofautiana mtu na mtu) Ziko tabia za...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari ya mahangaiko wakuu wa jukwaa hili, kama kichwa cha habari kinavyosema. Nina mpenzi ambae tumekaa nae kwenye mahusiano takribani miezi mitatu mpaka saizi lakini nikimwambia habari za...
2 Reactions
115 Replies
14K Views
Wakuu! Nimekuwa na tabia mbaya sijui, natongoza sana wake za watu. Halafu wala siwatafuni, basi ilimradi tu kuwachora na kisha kuwaacha wakihangaika kuniwinda. Huruma ni kwa waume zao waliokula...
9 Reactions
57 Replies
5K Views
Kichwa hapo juu, Walio oa wanawake makamanda njoeni hapa mnipe ushauri. Anajionesha ananipenda sana,ila Mimi naona kama nampenda zaidi Nimekuwa mwaminifu kwake sana na cjawahi kumsaliti hata...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Muficha uchi hazai. Mimi nina ugonja wa kupeda mwanamke mweupe. Huyo nikimuona halafu ana hipsi moyoni nafurahi sana. Hapa dukani pagu kaliakoo awo wanawake weupe wamekuwa wakinunua vitu kwa bei...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wanajamii forums wenzangu naamini jumapili ipo safi kabisa . Rejea kichwa cha habari hapo juu kinachosema Mapenzi ya kujirekodi video wakati mnafanya tendo la ndoa in ujuha uliopitiliza...
3 Reactions
8 Replies
6K Views
AUA MKE KWA KISU KISA WIVU WA MAPENZI SHINYANGA: Oktoba 11, 2020 Mkazi wa Didia Shinyanga Vijijini, Eliya Paulo Shija (30) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumuua Mke wake Mariam...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana jukwaa hili.. Mtoto mdogo wa kiume amekutwa ameweka kipande chuma chenye tobo katikati (ring type) katika sehemu yake ya siri hivyo kung'angania na kushindwa kutoka...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, ni mfanyakazi wa Serikali, mwaka 2017 niliamua kuwajengea wazazi wangu nyumba ya kuishi na niliijenga kwa shida sana maana ilifika wakati nikachukua mkopo...
7 Reactions
80 Replies
8K Views
Salaam wana jamvi...🙏 Naombeni mnishauri kitu juu ya jambo hili......Mie ni kijana mwenye umri kati ya 30 kushuka, naishi na mwanamke ambaye tulikutana tu kitaa kisha tukakubaliana tuishi...
6 Reactions
86 Replies
9K Views
Umri wangu kwa sasa ni miaka 33 siku si nyingi nitakuwa 34 umri wangu kila nikijiangalia umekwenda mno kwani mpka hivi sasa 1.sina mtoto 2.sijaowa wala sina familia 3.kimaisha bado...
19 Reactions
123 Replies
15K Views
Waheshimiwa sana Jf nawasalim, Mke wangu hataki kugusa kabisa kazi za nyumbani, kazi zote hufanywa na housegirl wetu ambae anakua over whelmed kutokana na sisi kuwa na mapacha Mara mbili yaani...
2 Reactions
62 Replies
9K Views
Back
Top Bottom