Ukimya wangu ulikuwa na Mengi sana hapa kati kati,
Kwanza mimi sio muhanga wa Moto pale Morogoro japo kwa hali yangu ya Uchumi laiti ningekuwa pale basi nami ningejikita Zaidi kwenye uchakataji...
Unakuta Mume au Mke anahitilafiana na ndugu au hata Wazazi wake, lakini unakuta Mume au Mke bila kujali kama kosa ni la mwenza wake basi nae anaunga tela na kukosana na hao Wakwe/Shemeji zake...
Iwe ni kwa wale wa kipato cha juu kati au cha chini...yaani kama Mke anatengeneza shilingi mia tano kwa siku na wewe Bw Mkubwa ni apeche alolo, ni ngumu sana kuwa na ndoa imara ya Mume na Mke...
Wrong relationships can ruin you. You can't afford to pick the wrong spouse. If it is not God's will and you end up marrying them, you are doomed! Marrying the wrong person is as serious as that...
Story moja hivi nawapa, so back then 2019, nilikutana na pisi kali tukazoeana fresh. tukuchat sanaaa. And damn she was smart and confident. Basi one day akaniambia tutoke so akachagua place...
Kamwenee bee, miaka hiyo natoka advance nikaomba course ya law chuo flan cha serikali. Nashukuru Mungu sana nikipata. Time ile tuliripoti chuo kama sikosei mwezi wa kumi hivi, basi kufika chuoni...
Natafuta mke atakae kuwa tayari kuolewa, wasifu wangu ni
1- mrefu wa fit 5 na sm 8
2- nimejiajili
3- mkristo wa kkkt
4- umri wangu ni 40,
Sifa za mke ninaemhitaji awe:-
1- mkristo mwenye hofu ya...
Familia ni kitu cha msingi sana.
Miaka ya nyuma nchi nyingi za dunia ya tatu (ikiwemo Tanzania) wanawake wengi walikua hawajasoma. Hivyo ilikua ni nadra sana kwa mwanamke kumiliki uchumi na kama...
Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!
Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile...
Nawatakia jumapili njema wote.. wanaohutaji kuoa na kuolewa Mungu awatokee leo jumalili na walio oa na kuolewa Mungu awape furaha, upendo na amani kwenye ndia zenu.
UDSM 2009-2013
1. Watoto wakike bwerere tuu unajichagulia tuu,now had uwaone variety ni ngumu sana.
2. Ma Bash, hapa sasa ndo ilikua burudani, mara whitesands, mara sansiro mara mbalamwezi dah...
Sasa leo ni zamu yangu kutangaza nia ya dhati ya kutafuta mke kupitia JF.
Ninachoamini mke wangu huenda akatokea humu au tukaunganishwa na mke wangu mtarajiwa na mtu anayeishi ndani ya jiji la JF...
Kipindi cha miaka miwili nyuma nilipata demu kwa jina Emmy huyu dada sikumpenda ila nilimtongoza kwakua nilikuwa na uhitaji wa huduma mara kwa mara kabla sijampata mpenzi wa maisha
Emmy alinizoea...
Hi haijakawa sawa hata kidogo.
Una masumbuko yako, unaamua kwenda kuombewa.
Unamkuta mchungaji ofisini kwake, unalia, unamuelezea matatizo yako weeee.
Gafla unaanguka miguuni pake namna hi...
Mimi ni kijana mwenye umri miaka 27, nipo mbele yenu kutafta mwanamke ambae atakuwa mke wangu siku chache zijazo mbele.
Sifa zangu.
Mrefu,umbo la kati sio mnene wala mwembamba,mweusi,pia ninakazi...
Habari wakuu
Imepita mwezi sasa sina kabisa hisia za kumchakata manzi wangu japokuwa nakaa nae getto moja,inafika muda hata afanyaje yaani kamanda hastuki kama mlinzi wa kiongozi wa nchi.Hali...
Salaam,
Leo naomba wanawake tukubali kushare wanaume.
I just think if you love a man, then his happiness matters. Naona wanaume wengi wako kwenye dilemma. They are unhappy with relationships but...
MUAFAKA -1
Wakati Edward anafika kwenye kituo cha mabasi yanayotoka Arusha kwenda Dar es Salaam, basi lililokuwepo tayari kwa safari ni moja, mengine yote yalikwishaondoka. Hakuwa na wasiwasi...
Hii ina apply haswa kwa watoto wa kike unapoona dalili mtoto wa kike ameanza kushika shika pesa hakikisha kama mwanaume asikuzidi kipato
Ni hatari sana mpenzi wako kukuzidi kipato matokeo yake...
Unakutana na mwanaume, alishafunga ndoa kabla, hawajapeana talaka na mke wake, eti kwakua tu wametengana, kwakua tu hawaongei wewe unajiingiza moja kwa moja. Unaanza kuishi na huyo mwanaume kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.