Naombeni ushauri

Duduke

Senior Member
Jul 12, 2020
112
104
Nimeachana na mpenzi wangu lakini nilifahamika kwao kwa sasa nipo shule nimeondoka bila kuwaaga wazazi wake na nilishawazoesha nikiondok nawaambia nikirudi nawaambia.

Nimerudi sasa nifanyeje jamani mama ake ananitafutag ata sasa kwa sim japo sina mahusiano na mwanae japo mwanae nina mawasiliano nae sio ya kimapenzi tunachati kawaida tu tuna mtoto mmoja.

Had leo nipo shule mama ake ajui kama nimeondok kila nikitaka kumpigia cim nasita kumtaarif kama nimeondok
 
nimeachana na mpenz wangu lakini nilifahamika kwao kwa sasa nipo shule nimeondoka bila kuwaaga wazazi wake na nilishawazoesha nikiondok nawaambia nikirudi nawaambia nimerudi sasa nifanyeje jamani mama ake ananitafutag ata sasa kwa sim japo sina mahusiano na mwanae japo mwanae nina mawasiliano nae sio ya kimapenzi tunachati kawaida tu tuna mtoto mmoja. had leo nipo shule mama ake ajui kama nimeondok kila nikitaka kumpigia cim nasita kumtaarif kama nimeondok
Kaeni muyajenge na Baba wa mtoto,
 
Oyaa!! Kitu kidogo kama hicho kinakupa tabu, mpigie simu huyo mzazi wake na mwambie ukweli tu. Kuliko kukaa kimya na wao wakajua upo na mtoto wao, mwisho wa siku mtoto wao anakutwa na tatizo wao wanajua ni wewe kumbe kapatwa na tatizo kwa mwingine. "Truth shall set you free!!"
 
Bwana mdogo hebu maliza shule kwanza, halafu ndio uanze kukimbizana na wanawake...
 
Jamani wewe mwanaume uliyemuacha Duduke hebu fanya umrudie asee

Anateseka huyu dada
"Isijekuwa wewe ndiwe uko naye hapo chumbani mwako mida hii, tena umemkaba kisawasawa hadi anashindwa kupumua afu unang'ata huku unapuliza hapa kama vile hauko naye" hivi naota au naakisi ukweli? hahaaa.....
 
Back
Top Bottom