Mke wa mtu kuomba pesa kwa EX wake...

Mke wa mtu kuomba pesa kwa EX wake...

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,497
Reaction score
38,399
Wakuu hii imekaaje?

Kuna huyu mwanamke niliwahi kuwa naye miaka hiyo, kwa sasa kashaolewa na ana watoto wawili.

Miaka kama miwili nyuma alinitafuta, nikaona sio kesi tukaanza kuwasiliana japo sio mara nyingi.
Ila cha ajabu huyu mwanamke amekuwa na tabia ya kuniomba hela mara kwa mara.

Je, hii ni sawa kwa mke wa mtu kuomba pesa kwa wanaume, tena waliowahi kuwa wapenzi wake?

Je, ikitokea mkeo ana tabia hiyo utachukua hatua gani?

Je, ukiombwa pesa na ex wako ambaye ameolewa tayari utafanya nini?

Kumpa pesa si mwanzo wa kuharibu ndoa yake ikitokea jamaa yake akajua?
 
Hata mradi waweza kumfungulia. Kwanza kumbuka; Uliwahi ishi naye japo sio chumba kimoja lakini mlipeana mema mengi. Jiulize, kipindi mko juu kwa juu angekuomba hela ungeja mtangaza??
Kuachiana nafasi sio uadui. Bado tu anakufaa ipo siku utamtafuta
 
Back
Top Bottom