Habari wana JF
Mimi ni binti wa miaka 22. Nmemaliza elimu yangu ya shahada mwaka huu.Kuna jambo fulani limetokea kuniumiza sana labda kwasababu nilikuwa nmesha expect something.Kuna familia flan ivi tajiri na ni family friends wetu ilikuja nyumbani kwetu kwa lengo la kuomba uchumba kwa ajili ya kijana wao.
Kwakua bado nlikua cjamalizia semester yangu ya mwisho ili nihitimu chuo nikawaambia ngoja kwanza nimalize af mengne yatafata.Kijana akaja mpaka nyumbani kwetu tukaongea akaeleza jambo lake bac tukaendelea kuwasiliana.Mda kidogo ukapita ghafla akakata mawasiliano.Lakini ndugu zake bado walikua wananitafuta kuulizia kwamba tumefkia wap na ndugu yao nkawaambia siku hizi hata siongei nae alisha acha kunitafuta.
Bac nkaona ngoja nimuulize muhusika nni kinaendelea ili nijue kama hii issue bado ipo ama laa ili niache kufikiria haya mambo. Bac nkamtua text ili kujua nni kinaendelea lakn hata hakunijibu. Sikupenda alichofanya nkamtumia tena texts na zinakua received watsap lakn anazikaushia tuu kunionesha kabsa ana ni ignore
Sasa kwann asinieleze tu kwamba amechange mind ama hakunielewa jaman kuliko kuni ignore ivo af ukizingatia walikuja wenyewe mpaka hme kwetu wazazi wake na yeye af saiv ana ni treat kama vile si exist jaman yan kanidharau.ni sawa kweli jaman ama ni mim tu ndo nlikua nshaanza kuweka expectations.