Nina marafiki zangu watatu nao ni watumishi wameajiriwa katika idara fulani ya umma katika mojawapo ya halmashauri za mkoa wa Mara.Ndani ya mwezi mmoja kuanzia machi mpaka sasa wote wamefanikiwa...
Niliajiriwa katika wilaya moja huko mikoani miaka ya karibuni tu.
Baada ya kureport na kuanza kazi nikakutana na binti ambaye naye ameanza kazi kama mimi kanisani siku ya kwanza ya ibada...
Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa.
Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu...
Wakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli.
Mimi nipo safarini kwa sasa...
Hello MMU gurus,
Kwa kweli ni jambo la kushangaza sana kuona karibu miezi minne sasa sina hata ile feeling ya kupata sex. Nimetishwa na hii hali.
Masterbation sifanyi, porn siangalii wala sinaga...
Habari za asubuhi
Week iliyopita nilisafiri nje ya Mkoa wa DSM, nikamucha mchumba wangu, (Mke mtarajiwa) huko. Weekend akaniomba kwamba anaenda kutembea hivyo ana hamu ya kutoka out, nikasema...
Habari za mihangaiko wana jamvi niende kwenye mada. Nilipata mchumba ambae kabila lake ni mndengereko mwenyeji wa mkoa wa pwani nilikua nimesha mtorea barua na umesha jibiwa.
Kulingana na mila na...
Binadamu hawana shukrani. Miaka 6 iliyopita nlikutana na binti fulani wa kisukuma baada ku-wrong number kwangu nikamsaka tukaonana mitaa yao ndio nilikuwa na site yangu.
Baada ya hapo tukaingia...
Habari za humu , natanguliza
shukran zangu za dhati kwenu wana JF.
Kama kichwa cha habari hapo juu , Naombeni msaada , jana nilipata ajali kazini nikiwa na mtoto mzuri kitandani getoni kwangu...
Sio kila unachokiona ndivyo kilivyo. Wakati mwingine X anaweza kutaka kukuumiza tu. Relax na ufanye mambo yako. Unaweza kujikuta unafanya jambo miaka mingi ijayo utabaki unacheka tu.
Embu share...
KIla mtu mwenye hekima anakubali kuwa huyu ni mwanaume asiyefaa hata kidogo kuwa kichwa cha familia kwa jinsi anavyofanya mambo ya kitoto na kuwa na gubu kubwa kwa mkewe.
Kisa chenyewe kilianza...
Habarini wakuu, leo nimeomba mechi na pisi ili nipande mbegu wakati neema ya mvua ikiendelea tukakubaliana jioni nimpitie nikitoka job. Sasa balaa kuna demu mwingine anatuleaga msosi leo kaniambia...
Nimejaribu ku act tatizo flani ili nione itakuwaje, aisee ni hatari tupu sio tu nme act but ni kweli limenitokea ila sio kwa hatua nilio ia act, mpaka mpenzi wangu hapokei simu.
Ila wadada kama...
Wakuu mm nimmoja wa watu navutiwa na nchi ya Rwanda, naomba kujua gharama na taratibu ya kwenda kutalii kama week moja, je pisi za huko zilivyo kalii zinapatikana kirahisi? Na pia viwanja vya...
Haya maisha kwa kweli ni matam sana. Sana.
Nimekua na mahusiano na mke wa mtu kwa miaka 3, kwa kipindi hicho chote alikua akiniomba nimpe mimba, anatamani anizalie, anapenda nimuachie damu yangu...
Habari za usiku waungwana mliopo macho.
Najua kuwa wapo wanaopenda hadithi lakini wapo wengi walio wavivu. Ukiingia katika u-tube chanell yangu Black chicken utaona zipo hadithi za kusisimua za...
In any case chanzo cha ndoa yoyote kuvunjika chanzo ni mwanaume.
1. Mfano ukisema ume divorce sababu mama kachepuka lazima kosa ni lako kwa maana ya kwamba hukufanya Uchunguzi wa kutosha kwenye...
Habari wana jamvi wenzangu, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Wengi wenu natumai mu wazima wa afya. Narudi tena kwa mara nyingine baada ya kutokufanikiwa mara ya kwanza
Naomba niende kwenye...
Greetings earthlings,
Nimewasoma mnavyosoma kuhusu ndoa za utotoni ikabidi nijiulize utoto unaisha lini?
Kuna wanaosema ni kabla ya kubarehe/kuvunja ungo kuna wanaosema ni mpaka ufikishe 18yrs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.