Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
225
Reaction score
215
Habari ya mahangaiko wakuu wa jukwaa hili, kama kichwa cha habari kinavyosema.

Nina mpenzi ambae tumekaa nae kwenye mahusiano takribani miezi mitatu mpaka saizi lakini nikimwambia habari za kufanya nae mapenzi anadai eti mpaka nije nimuoe na anajua kabisa mimi na yeye kuoana ni pale tutakapo maliza masomo yetu bado miaka kama mitatu hivi

Sasa mimi sipendi nichepuke wakati binafsi mi nampenda na sitaki nimsaliti kwa kwenda kwa mwanamke mwingine

Sasa swali langu ni kwamba nifanye njia gani hadi anikubalie kufanya nae mapenzi mana nampenda sana afu naumia kukosa penzi lake
msaada wenu ni mhimu wakuu Asanteni
 
Subiri ndoa kijana, unataka umkule mtoto wa watu kisha umkimbie? Kashtukia mchezo wako..
 
Vumilia kama ni kweli ana maanisha, ila jiongeze kama anakuchora.
 
Back
Top Bottom