Kwani lazima kila siku kitandani ?

Kwani lazima kila siku kitandani ?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,441
Reaction score
872,037
Changamoto za kimaisha frustration za kazini na stress za madeni vinatukosesha uhondo mwingi Jamani

Tunarudi kazini uko hoi pengine na wife naye hivyohivyo kila mmoja ana stress zake mnajikuta hamna furaha mnaoga mnakula mnapanda kitandani mama chini baba juu, kifo cha mende mnakulana kimoja cha kuondoa udhia unajitupa kule naye anjitupa kule mnalala fofofo mnakoroma hadi dayb life goes on...!mwishowe mnaishiwa ladha hamuenjoy

Ila kama mkiwa werevu mtaweka stress zenu chini siku mojamoja mtabadili viwanja na style pia ,leo kwenye kochi mbuzi kagoma kwenda Kesho bafuni mchuzi juu siku nyingine kwenye, kapeti jikoni store gesti bubu hotelini vichakani, almradi tu mtafute ladha rofauti kwani hamjui kuwa love is a funny thing?

Weka stress pembeni chizika na umpendae fanyeni yatakayowafurahisha mioyoni mwenu mtaenjoy...!!!
 
si busara kupiga show wakati ukiwa out of mood au umechoka na ukiwa na stress kwa kuwa hii itapunguza performance yako kwenye game na hivyo kupunguza mvuto wako kwa mwenzi wako. Si lazima kila siku upige show unaweza ukalimbikiza siku mbili au tau then ukapiga kazi ya maana ambayo itasuuza mioyo yenu. Ni ushauri tuu ........ila kubadili location tuko pamoja mzee
 
he he he he wenye ndoa zenu maujuzi hayo..... weka picha basi ili tuone
 
Changamoto za kimaisha frustration za kazini na stress za madeni vinatukosesha uhondo mwingi Jamani

Tunarudi kazini uko hoi pengine na wife naye hivyohivyo kila mmoja ana stress zake mnajikuta hamna furaha mnaoga mnakula mnapanda kitandani mama chini baba juu, kifo cha mende mnakulana kimoja cha kuondoa udhia unajitupa kule naye anjitupa kule mnalala fofofo mnakoroma hadi dayb life goes on...!mwishowe mnaishiwa ladha hamuenjoy

Ila kama mkiwa werevu mtaweka stress zenu chini simu mojamoja mtabadili viwanja na style pia ,leo kwenye kochi mbuzi kagoma kwenda Kesho bafuni mchuzi juu simu nyingine kwenye, kapeti jikoni store gesti bubu hotelini vichakani, almradi tu mtafute ladha rofauti kwani hamjui kuwa love is a funny thing?

mwana wala siwazagi kama ni madeni nshayazoea labda kama hakuna chakula home ndo ntapata stress itakayonifanya nisitamani hata kukaa kati! ila chini hapausiani na ugomvi wala stress ambazo hazihitaji kulazwa!

my take is whether tumegombana au hatujagombana, umenuna au hujanuna chini lazima paniusu! ingawa mwanzoni mwanamke ni vigumu kumfanya azoee hali hii, utasikia yaani uniudhi halafu uniombe? subutu sikupi....!waaaaapi... kidogo kidogo anazoea utashangaa siku ingine kakuudhi halafu unajifanya umenuna unashangaa kashairukia ukifanya huleti ushirikiano anajihudumia mwenyewe mpaka uzalendo utakushinda kesho yake hamna ugomvi wala kuulizana tena yalioyopita!
 
he he he he wenye ndoa zenu maujuzi hayo..... weka picha basi ili tuone

warning-dialog.png
 
.......jikoni kwenye hizi nyumba zetu za kiswahili?
wamejazana ndugu hadi majirani wa kijijini kashozi?
 
si busara kupiga show wakati ukiwa out of mood au umechoka na ukiwa na stress kwa kuwa hii itapunguza performance yako kwenye game na hivyo kupunguza mvuto wako kwa mwenzi wako. Si lazima kila siku upige show unaweza ukalimbikiza siku mbili au tau then ukapiga kazi ya maana ambayo itasuuza mioyo yenu. Ni ushauri tuu ........ila kubadili location tuko pamoja mzee
hii mi nakataa ujue kitu kama umezoea hata kama unastress zinayeyuka kikubwa ni mindset usifanye akili yako kuwa rigid ifanye ikubali unachotaka kwa wakati huo yenyewe itatuma message sehyemu husika na kazi itafanyika ya kutosha tu!
 
Kweli kabsa! Siku nyingne mnashusha godoro chini mnacheza kidali !! Loh!
 
mjikute tu..af mmng'atwe na mijoka huko sijui mtawaambiaje wapitao njiani
Changamoto za kimaisha frustration za kazini na stress za madeni vinatukosesha uhondo mwingi Jamani

Tunarudi kazini uko hoi pengine na wife naye hivyohivyo kila mmoja ana stress zake mnajikuta hamna furaha mnaoga mnakula mnapanda kitandani mama chini baba juu, kifo cha mende mnakulana kimoja cha kuondoa udhia unajitupa kule naye anjitupa kule mnalala fofofo mnakoroma hadi dayb life goes on...!mwishowe mnaishiwa ladha hamuenjoy

Ila kama mkiwa werevu mtaweka stress zenu chini simu mojamoja mtabadili viwanja na style pia ,leo kwenye kochi mbuzi kagoma kwenda Kesho bafuni mchuzi juu simu nyingine kwenye, kapeti jikoni store gesti bubu hotelini vichakani, almradi tu mtafute ladha rofauti kwani hamjui kuwa love is a funny thing?

Weka stress pembeni chizika na umpendae fanyeni yatakayowafurahisha mioyoni mwenu mtaenjoy...!!!
 
Tangu nijiunge jf leo ndio nmeona wadau wameiunga mada mkono kwa 98% labda nyingne ile ya jamaa aliyeathirika,hivi kumbe siku nyingne mnaamkaga vizuriee....!
 
Sasa sisi mabachelor niaje?? Aliyetayari ajitokeze basi na natoa offer tutaenda kuzindulia kwenye kile kichaka pale bunju (Mbali kidogo na pale yule Gangster wa nchi jirani alipomtesea Dr wetu)

hotelini vichakani, almradi tu mtafute ladha rofauti kwani hamjui kuwa love is a funny thing?
fanyeni yatakayowafurahisha mioyoni mwenu mtaenjoy...!!!
 
siku moja wewe na mkeo mtakapoajiriwa kwenye institution zilizo busy kama bank na pia ukiishi kwenye ndoa kwa miaka kama mitano na kuendelea utaelewa ninachomaanisha kuhusiana na uchovu wa kazi na stress vina impact gani kwenye mambo yetu yale ila kama umejiajiri au mama yuko idle tuu nyumbani ni vigumu kunielewa.

hii mi nakataa ujue kitu kama umezoea hata kama unastress zinayeyuka kikubwa ni mindset usifanye akili yako kuwa rigid ifanye ikubali unachotaka kwa wakati huo yenyewe itatuma message sehyemu husika na kazi itafanyika ya kutosha tu!
 
siku moja wewe na mkeo mtakapoajiriwa kwenye institution zilizo busy kama bank na pia ukiishi kwenye ndoa kwa miaka kama mitano na kuendelea utaelewa ninachomaanisha kuhusiana na uchovu wa kazi na stress vina impact gani kwenye mambo yetu yale ila kama umejiajiri au mama yuko idle tuu nyumbani ni vigumu kunielewa.
kwanza usinifundishe uoga bank kitu gani mbona nafanya na nnachelewa muda wa kutoka wala haini affect? we sema ndani ya hizo stress zako moja wapo ni yeye an fb yake, na whats up yake, na upuuzi wa kujifanya ohh kazi nyingi nachoka sana, as a source ya stress yako ndo maana hutamfeel pili hiyo kukaa muda mrefu ni kitu kingine kinaitwa boredom na sio uchovu wala stress! halafu kujieleza hujui Bank unafanya Post gani? i think back office!
 
Changamoto za kimaisha frustration za kazini na stress za madeni vinatukosesha uhondo mwingi Jamani

Tunarudi kazini uko hoi pengine na wife naye hivyohivyo kila mmoja ana stress zake mnajikuta hamna furaha mnaoga mnakula mnapanda kitandani mama chini baba juu, kifo cha mende mnakulana kimoja cha kuondoa udhia unajitupa kule naye anjitupa kule mnalala fofofo mnakoroma hadi dayb life goes on...!mwishowe mnaishiwa ladha hamuenjoy

Ila kama mkiwa werevu mtaweka stress zenu chini simu mojamoja mtabadili viwanja na style pia ,leo kwenye kochi mbuzi kagoma kwenda Kesho bafuni mchuzi juu simu nyingine kwenye, kapeti jikoni store gesti bubu hotelini vichakani, almradi tu mtafute ladha rofauti kwani hamjui kuwa love is a funny thing?

Weka stress pembeni chizika na umpendae fanyeni yatakayowafurahisha mioyoni mwenu mtaenjoy...!!!

Mkuu uko sawa kabisa.
Ubunifu ni limbwata tosha katika kudumisha penzi.

Jeneza.JPG
 
Ndugu uko kwenye ndoa kwa muda gani au unazungumzia mahusiano ya boyfriend na girlfriend

Back
Top Bottom