Unahakikishaje usalama wa mtoto wako?

Unahakikishaje usalama wa mtoto wako?

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
6,904
Reaction score
9,832
Habari za muda huu wana jukwaa hili..


Mtoto mdogo wa kiume amekutwa ameweka kipande chuma chenye tobo katikati (ring type) katika sehemu yake ya siri hivyo kung'angania na kushindwa kutoka.

Kisa hiki (tazama picha) kimetokea siku nne zilizopita na wazazi wa mtoto huyu wamegundua leo jambo hili.


Sasa ewe mzazi au mlezi jiulize

-Kuna umuhimu wowote wa kumkagua mtoto wako sehemu zake za siri?

-Je?, wewe mzazi /mlezi unahakikisha usalama wa mtoto wako.

-unadhani jukumu la kuhakikisha usalama wa mtoto ni wa mama au baba pekee (mzazi wa kiume au wa kike pekee)

-Je?, umewahi mkagua mwanao mwili wake.

-Je?, unaona aibu kufanya hivo.

JIWEKEE MUDA WA KUWAKAGUA WATOTO WAKO, USITUMIE MUDA WAKO WOTE KWENYE KAZI AU STAREHE HUKU JUKUMU LA MALEZI UKIACHA KWA MZAZI WA UPANDE MMOJA AU MFANYAKAZI.

Samahani Kwa aina hii ya picha.
IMG-20180829-WA0002.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila Shaka huyo mtoto hapati malezi mazuri kutoka kwa wazazi wake.

Haaiingii akilini hilo wazo la kuweka pete ktk uume in that age amelitoa wapi kama si kutizama mikanda ya ngono au kuwa na company mbaya ya watu wahuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh,,,,inasisimua....ila siku 4!!! la hasha,,, ngozi ya mtoto ni laini sana....mida hii angekuwa chumba cha upasuaji.....bado najiuliza imeingiaje ishindwe kutoka......
 
Inamaana huyo mtoto hajaogeshwa siku nne zote?.
Nijibu hili nitachangia kiutu uzima maana na mimi nimzazi.
Akikujibu niite na mimi mkuu..maana ni kama ulikuwa akilini kwangu kwa kuuliza hilo swali
 
Akikujibu niite na mimi mkuu..maana ni kama ulikuwa akilini kwangu kwa kuuliza hilo swali
Kama Ana wazazi au walezi ni wazembe wa kiwango cha mwisho
Siku nne hajaoga?
Hajamwona akienda kupee?

Wa kwangu akipata hata kipele analalamika mpaka umtizame

[emoji252] [emoji479]
 
Kama Ana wazazi au walezi ni wazembe wa kiwango cha mwisho
Siku nne hajaoga?
Hajamwona akienda kupee?

Wa kwangu akipata hata kipele analalamika mpaka umtizame

[emoji252] [emoji479]
Wallah ni uzembe wa standard geji haki tena haiwezekani.siku nne hapana Aiseeh atakuwa hana wazazi wala walezihuyo
 
Wallah ni uzembe wa standard geji haki tena haiwezekani.siku nne hapana Aiseeh atakuwa hana wazazi wala walezihuyo
Labda aseme kwa masaa kadhaa
Ila nayo bado haijakaa sawa

[emoji252] [emoji479]
 
Back
Top Bottom