Askari, kuweni wakweli kwenye mahusiano

Askari, kuweni wakweli kwenye mahusiano

Midazolam

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
807
Reaction score
1,349
Kichwa hapo juu,

Walio oa wanawake makamanda njoeni hapa mnipe ushauri. Anajionesha ananipenda sana,ila Mimi naona kama nampenda zaidi

Nimekuwa mwaminifu kwake sana na cjawahi kumsaliti hata siku moja. Nikimkwaza hata kulazwa hatalazwa

Ila kupokea simu ni tatizo lake kubwa sana na kujibu anajibu kwa kuchelewa. Kuna mahali nimeshatanguliza na ela ambazo nimempa hizo hata idadi sijui, yeye anataka tu ndoa ya serikali au tunaita ya sheria mi nataka ya dini Ila nimeona tu tufunge hiyo

Wenye hawa wake hizi pressure za ubize mnazivumiliaje? Nampenda hadi naweweseka jamani nadhani mnanielewa wanaojua upendo,
 
Huwa nawakubali sana kwa amri zao

Utamsikia; nikojolee sasa mbona hukojoi,

Ukitaka kumkojolea mapema anakwambia ; mbalizi1 usikojoe kwanza nit****be kwanza

Nipe hiki, leta kile, nataka hii, sitaki hicho

Natania tu
 
Kama kuoa oa hayo majeshi mengine ila kwa Polisi utaingia kwenye mtihani kila kitu atajifanya anajua atatoa ubongo wako ataweka kimashine na yy atakaa na remote mpaka utajuta au wewe haujionei polisi wengi wanalea watoto ambao baba zao hawajulikani tatizo kujifanya ujuaji na wanaachika.
 
Back
Top Bottom