Huyu binti tumekutana kwenye mitandao ya Kijamii. Yeye mwenyewe akanipenda. Nami nlipomwangalia nikamwona ni mzuri anapendeka.
Far more she is working na anaishi na wazazi wake. So pesa...
Wadau, Amani iwe nanyi Sote!
Moja kwa moja kwenye point; Jana nilipigiwa simu kwa njia ya "WhatsApp" na rafiki yangu akinitaka tuonane kwa haraka lakini kwa bahati mbaya nilikua mbali kwa muda...
1. Historia ya familia ya kwanza Adam na Eve ina testify hili
2. Hata kwenye mahusiano chunguza sana..ushaur wa negative kuhusu rafiki zako, ndugu zako etc conversation hyo ya kwanza utaona...
Kumezuka mazoea kwa miaka mingi kwamba ndugu na jamaa wanataka kupata control yako kwa kusubiri ukifukwa na janga wakukomoeshe ili ujiunge nao kwenye vikundu wanavyounda hata kama havina tija...
"Wanaume wote sawa. Wote wadanganyifu na walaghai. Hawana mapenzi ya kweli, watakuchezea na kukuacha."
Nadhani hakuna mwanaume ambaye hajakutana na hizo kauli kipindi anatongoza. Maana ni kauli...
Hallo
Katika harakati za mapenzi Kuna kutongoza na katika kutongoza kuna kukubaliwa na kukataliwa. Swali langu ni uliwahi kutongoza kwa muda gani bila mafanikio Na Kisha ukaamua kuachia ngazi
Wiki...
Kisa kipo hivi jamaa anasimulia huko kwenye chanzo kimoja cha habari kwamba.
" Nimeoa Mwaka huu Ndoa yangu ina miezi 3, baada ya kufunga ndoa ndugu wa mke wangu waliokuja kwenye sherehe...
Je, una miaka mingapi na ulishafanya mapenzi na wanawake/wanaume wangapi mpaka sasa?
Binafsi mpaka sasa ndio nimetimiza miaka 25, lakini wanawake niliochakata mpaka sasa nilioweza kuwakumbuka na...
Utahangaika kutafuta Mali na utajiri ili vikupatie furaha.
Utatafuta kazi inayolipa vizuri na iliyo na mazingira mazuri na rafiki ili upate furaha.
Utatafuta mwanaume au mwanamke mzuri kwa...
Habari!Mimi ni mwanamke wa miaka 30,Nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Najitokeza nikiwa na nia ya dhati kutafuta mume popote pale ndani ya Tanzania.
Sifa ninazohitaji,
Awe mkristo mwenye hofu ya...
Kiukweli sinaga maarafiki wanaoniongelea vibaya, Mara nyingi watu wanapenda kunijua lakini siwapi nafasi. Niko tofauti naweza piga story na mtu yoyote haimanishi ananijua au tunafahamiana. Kuwa na...
Hivi karibuni nilibahatika kupata mchumba mwenye asili ya Pemba sasa kilichonileta wadau huyu mwanamke tulikubaliana vizuri tuoane akawa anataka apajue na kwangu baada ya kumleta akashangaa...
Kuna wakati unaamua kuacha kuhangaika unaamua kutulia na mpenzi mmoja na kuwa muaminifu. Unakuwa committed kwake kwa kila kitu, ila sasa unakuta mpenzi uliyenae hajatulia anachepuka tu, hii inauma...
Heshima kwenu,
Nina hali ya upweke wa hali ya juu sana umenitawala kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni,
Muda wote nawaza tuu mambo ya ajabuajabu,
Nina watoto watatu na mwanamke ninaeishinae na...
Yaani huyu mkubwa ana miaka 29 sasa, mjuaji sana, mbishi kama nini yaani alivyomaliza na masters basi imekuwa shida zaidi. Nawaza nasema sijui kama hta anadumu na wanaume maana ana ubabe flani...
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali...
Habari ya asubuhi wataalam mbalimbali,chap kwa haraka ngoja niende straight kwenye mada. Nikiwa zangu kwenye daladala nimepanda zangu nikakaa kwenye siti ya nyuma na wadada wawili wanaonekana...
Huyu ni mke wa mtu, nilijuana nae zaidi ya mwaka mmoja nyuma kabla hajaoelewa, tulikua marafiki na nliwai kumtongoza akagoma kumbe alikua na lijamaa linamjali na kumpenda kuliko kawaida.
Mbaya...
Habari,
Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.