Maoni yangu: Mwanamke ni source ya destruction duniani hapa

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
1. Historia ya familia ya kwanza Adam na Eve ina testify hili

2. Hata kwenye mahusiano chunguza sana..ushaur wa negative kuhusu rafiki zako, ndugu zako etc conversation hyo ya kwanza utaona anaanzisha mwanamke.
Atakwambia "Yule rafiki yako mbona hiki mbona kile...anakulia pesa zako etc"

Au atakwambia kwann mama yako asiende uguziwa nyumban au huyu mtoto wa ndugu usimsomeshee huko huko kwao

3. Wao ndio watoaji mimba...u cant kill some1 inside you..hili tendo ni la ukatili sana, tunachukulia poa tu na huwez justify kuua mtu...decision hii anafanya mwanamke

4. Treatment ya mwanamke kwa mwanamke au mwanamke kwa mwanaume kwenye chochote ni tofaut kabisa na treatment ya mwanaume kwa mwanamke au mwanaume kwa mwanaume. Chunguza tuu..kwenye mambo yote mwanamke hana humility

Hebu angalia mfano wa mama mwenye nyumba na msaidiz wa kazi..mfano m1 tu huu.

Hata mfano wa mama wa kambo kwa mtoto ...ni kama custom yan

5. Ni rahis sana kwa mwanamke kuonyesha hypocrisy kuliko mwanaume...chunguza the way wanavyosifiana wakiwa pa1 akat pemben ni maadui wakubwa

Wanaongoza pia ku fake orgasm ..(out of context)

6. Mambo ni mengi sana

N.b..wanatuzaa..ndo mama zetu dada zetu..hawahawa...ni mtihan mkubwa sana


Kumbuka pia...
Upendo wa kwel kwa mwanamke UPo kwa mtoto wake wa kumzaa peke yake..tena yule anaemzaa na kumshika...ingaea wapo wanaotupa watoto pia...ndo ajab lingne hilo la hawa ndugu zetu

Mwanamke hathamini kingne zaid ya hiko...maana mengne yote kwa mwanamke ni ya kando

Uzi tayar.
 

BOB MARLEY - Adam and Eve Lyrics​


The lord named Adam and Eve,
to live a happy life.
In the garden of Eden,
but they disobeyed.

I wanna know,
why they sin,
in the garden of Eden.

It`s a devilman`s affair,
in the shake of a surfband.

And they broke the fruit of life
and everyone of us is living in sin.

Any anywhere you go,
woman is the root of all evil.

He was the first one to break a fruit
and everyone of us is living in sin.

The lord named Adam and Eve,
to live a happy life.
In the garden of Eden,
but they disobeyed.

I wanna know,
why they sin,
in the garden of Eden.

It`s a devilman`s affair,
in the shake of a surfband.

And they broke the fruit of life
and everyone of us is living in sin.

Any anywhere you go,
woman is the root of all evil.

He was the first one to break a fruit
and everyone of us is living in sin.
 
Muhanga mwingine wa kukataliwa na kupigwa chini na Wanawake huu, chuki, kulia lia hakukusaidii, jipange upya, labda watakukubaki next time, Mwanaume mwenye uwezo wa kupata mademu atakao hawezi kuchukia Wanawake hata siku moja, Wanawake ni wazuri sana, ...
 
Muhanga mwingine wa kukataliwa na kupigwa chini na Wanawake huu, chuki, kulia lia hakukusaidii, jipange upya, labda watakukubaki next time, Mwanaume mwenye uwezo wa kupata mademu atakao hawezi kuchukia Wanawake hata siku moja, Wanawake ni wazuri sana, ...
Mkuu...mim sijisifii....sijawai kuwa na tatzo la kupata mwanamke..hata watu wanaosoma nyuz zangu wanafaham hilo...yaan inshort mim ndio nawaaendesha wanawake....

Kwahyo umekosea ...huyo mtu si mim

Tukirud kwenye uzi...jibu hoja usikurupuke..kanusha nilichokisema sio kuni attack kama unanijua vile....

I got 99 problems lakin mwanamke hajawai kuwa tatzo kwangu...nna madem weng nawakimbia mim..

Kanusha nilichoandika kwenye uzi mkuu.rahis tu
 

BOB MARLEY - Adam and Eve Lyrics​


The lord named Adam and Eve,
to live a happy life.
In the garden of Eden,
but they disobeyed.

I wanna know,
why they sin,
in the garden of Eden.

It`s a devilman`s affair,
in the shake of a surfband.

And they broke the fruit of life
and everyone of us is living in sin.

Any anywhere you go,
woman is the root of all evil.

He was the first one to break a fruit
and everyone of us is living in sin.

The lord named Adam and Eve,
to live a happy life.
In the garden of Eden,
but they disobeyed.

I wanna know,
why they sin,
in the garden of Eden.

It`s a devilman`s affair,
in the shake of a surfband.

And they broke the fruit of life
and everyone of us is living in sin.

Any anywhere you go,
woman is the root of all evil.

He was the first one to break a fruit
and everyone of us is living in sin.
Kumbe wahenga waliyaeleza haya muda tu
 
Kwani shida iko wapi? Mm sioni haja kumuweka mondi ktk hii list nadhani Nandy ndiye anafaa kubeba cheo cha African princess...
 
Adam vs Eve

Samson vs Delilah
Ile ya Samson Na delilah, daa inaumiza sana. But hata kinachoe endelea mashariki ya kati ni matokeo ya mwanamke pia, Ibrahim alijitulia zake haku mind sana kutokua na mtoto, mkewe ndiye alimsahwishi amle beki 3 wao ili beki 3 awazalie mtoto, mshua akakubali, kapiga show moja tu, kitu kikaitika, kilichotkea ndio uzao wa Waarabu leo, shida na Waisrael haziishi. Kama asingezaa na beki 3 huenda mambo yangekwenda sawa
 
Ile ya Samson Na delilah, daa inaumiza sana. But hata kinachoe endelea mashariki ya kati ni matokeo ya mwanamke pia, Ibrahim alijitulia zake haku mind sana kutokua na mtoto, mkewe ndiye alimsahwishi amle beki 3 wao ili beki 3 awazalie mtoto, mshua akakubali, kapiga show moja tu, kitu kikaitika, kilichotkea ndio uzao wa Waarabu leo, shida na Waisrael haziishi. Kama asingezaa na beki 3 huenda mambo yangekwenda sawa
So waarabu ni watoto wa beki tatu?!
 
Kama hii soma upuuzi imeandika
Screenshot_20201103-121840.jpeg
 
Back
Top Bottom