Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,639
- 47,716
"Wanaume wote sawa. Wote wadanganyifu na walaghai. Hawana mapenzi ya kweli, watakuchezea na kukuacha."
Nadhani hakuna mwanaume ambaye hajakutana na hizo kauli kipindi anatongoza. Maana ni kauli ambazo wanawake wengi upenda kuzitumia mwanzoni (but fun enough majority huishia kutoa jibu la YES).
Ila tukisema turudi kwenye uhalisia, wanawake wote wapo sawa na ndio maana wanaume tunaonekana wote tuko sawa, maana huwa tunatumia mbinu sawa ili twende sawa na wao.
Wanawake wanapenda mtu anayewajali, anayewasikiliza, anayewafanya wafurahi na kujihisi wapo salama. Lakini all in all, most of them they like FLIRTING. Ila wanashindwa kujua, flirting tends to kill their relationships slowly without noticing.
Amina anatoka na Henry na wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na wanapendana , ila muda huo huo katika group la watu aliosoma nao primary kuna mtu anaitwa #Analyse ni rafiki yake sana. Huwa wanabadilishana mawazo kwenye mambo mengi sana na huwa wanawasiliana mara kwa mara. Sometime Amina akigombana na Henry, huwa anapata faraja toka kwa #Analyse. Amina hajawahi kuwa na shida alafu #Analyse akashindwa kumsaidia. Japo #Analyse nae anampenzi wake, lakini he always makes Amina feel loved and needed.
Kitendo cha #Analyse kumpeti peti Amina, kinamfanya Amina asiwe anaumia sana pindi akikwaruzana na Henry. As time goes inatokea siku Amina na Henry wanapishana kauli. She switches off her phone and decide to visit #Analyse at his place.
Anamkuta, anapokewa vizuri, anakaribishwa juice ya baridi. Anaanza kumuelezea yaliyomkuta. Kwa upendo na upole #Analyse anamhug Amina. Kwa mtu mwenye uchungu na majonzi hasa wanawake, hug huwa ni faraja kubwa sana kwao. After one minute, #Analyse kisses Amina, and she can't refuse since he makes her feel safe, loved and needed . They end up on bed, naked.
Safari moja uanzisha nyingine, mapenzi kwa Henry yanapungua. Hata ikitokea wakagombana, suluhu kupatikana ni ngumu. "Give me space to think" hicho ndio atasema. At the end ni break up ili a move on na #Analyse. She FEEL LOVED AND NEEDED, while in reality she's LIKED AND WANTED maana #Analyse anampenzi wake.
Few weeks later #Analyse anaanza kuwa mzinguaji na hatimae anamtema Amina. Hapo ndio utasikia ile kauli "MEN ARE DOGS yani he used and dump me" Treat me like a trash.. and they forget the fact "THEY ARE STUPID"
Ujue mwanamke na mwanamme wakiwa ni marafiki kawaida tu vigumu sana kugombana, na inaweza ikapita miaka na miaka. Maana hakuna anayemcontrol mwingine wala kufatilia mwingine anafanya nini na yuko na nani. But the moment mnaanza kuvuliana nguo, drama huanzia hapo na mitazamo ya mambo mbali mbali hubadilika.
Binafsi simlaumu #Analyse kuamua kusex na Amina wakati anampenzi wake, bali namlaumu Amina kukubali kuvuliwa nguo na #Analyse wakati anajua anampenzi. Na hata tukija kwenye uhalisia, MO Dewji hawezi kuiruka buku njiani eti kisa yeye ni Billionaire.