Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nmetoka home kwa jamaa kumsaidia maana issue aliyo nayo si mchezo. Jamaa ana binti mmoja kamzimikia sana. Sana ile Mbaya. Sasa binti inaonekana kama hajakolea sana.ila akipewa zawadi huchukua...
7 Reactions
87 Replies
10K Views
Siku zote wahenga wanaendeleza kusisitiza 'dalili ya mvua ni mawingu" Kwenye suala la ndoa, kigezo moja wapo ambacho mwanamke anatakiwa awenacho ni UVUMILIVU Mchunguze kupitia hii kitu -mwanamke...
15 Reactions
18 Replies
3K Views
Mahusiano ni mazuri pia ni matamu, mke mkarimu na unyenyekevu usioshaka, anayeheshimu na kujali mwenye upendo na huruma, asiye mpinzani wala mshindani anayeridhika na kushukuru, akijishusha na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Maka 5 iliyopita nikiwa nasoma mwaka wa pili kule Iringa nililetewa bahasha na kijana fulani (jina kapuni) aliyekuwa class mate wangu. Ndani ya bahasha kulikiwa na sh laki 3. Fedha hizi zilitoka...
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana...
19 Reactions
90 Replies
10K Views
Nina mshkaji wangu.. Ni best sanaa, tulikutana ajirani serikalini... Baada ya kuona maisha ya ajira HAYAENDI tuliamua kuacha kazi na kufanya yetu, Mimi niliamua kwanza kwenda shule na yeye...
8 Reactions
179 Replies
19K Views
Sio wanawake sio wanaume Wanawake wanataka wanaume wenye mafanikio sio mafanikio actually Ni material things nyumba,magari ,kazi nzuri or biashara etc Wanaume nao wamekuwa hao hao wakiona mwanamke...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Nna miaka 28 Nna kazi pia mfanyabiashara Sifa za mke age 23-28 awe mkristo. Awe na kashughuli cha kufanya Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Ni mwaka na nusu sasa nina mchepuko wangu ni Traffic. Naenjoy sana. Huwa haniombi pesa na nikijifanya kutaka kumpa anacheka sana. Ananambia yeye mtaji wake ni Uniform tu akitinga hizo akaenda...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Anakufuata mwanaume hana background nzuri ya kiuchumi na elimu yenyewe ndio hivo tena, kakufuata ili muanze maisha ya mume na mke na anataka uanze naye from zero ili mfikie malengo yenu mkiwa...
5 Reactions
155 Replies
12K Views
Hivi wapo wanawake wanaotuhonga sisi wanaume pesa kama tuwapavyo wao? sijawahi bahatika kupata mwanamke wa kuwa namgegeda then awe ananipa na pesa, huu ni mkosi au vipi wakuu maana nimekuwa...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta mke mwenye sifa hizi: 1.Dini mkiristo/mlokole kipaumbele 2.elimu kwanzia form 4 3.umri miaka 20 hadi 25 mwisho 4.urefu 6ft au 5.5ft 5.rangi siokipaumbele 6. mwili wa wastani 7.kazi sio...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Majuzi nilikuja na uzi huu https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1626359/ Ile ndoa ni kama imekwisha kwani wametengana (ndoa ya Kikristo). Hiyo ni kutokana na mume kuona haina haja ya...
14 Reactions
239 Replies
27K Views
Miaka 9 iliyopita nilimtia mimba Mwanachuo wa mwaka wa 2 akajifungua mtoto wa kiume. Hatukuweza kuoana maana na mimi ndiyo kwanza nilikuwa nina mwaka mmoja mtaani sina mbele wala nyuma. Hivyo...
0 Reactions
179 Replies
25K Views
Tendo la ndoa ni tendo la furahaa unatakiwa kulishiriki ukiwa na furaha moyoni sasa kwa yanayoendelea ni ngumu hata kulifikiria tendo hilo. Sitoshiriki tendo hilo kwa wiki 2 nikijaribu kupona na...
30 Reactions
68 Replies
6K Views
Zero IQ kwa mara ya kwanza nimekutana na binti wa ajabu, Huyu binti mwanzo nilijua utani aliponiambia kwamba yeye haisi Raha mpaka pale anapopigwa mboko/bakora kila anapokaribia kufika kileleni...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Jukwaa limelala natapatapa sioni raia humu! Najua shida internet lakini si Kuna VPN! Au mnatumia mi IOS..😂 Hii inanikwaza kuwakosa usingizi haupiti, sioni hata raha ya mtandao bila nyinyi! Kama...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Nimeandika kwa masikitiko makubwa, huzuni,majonzi na kilio cha kwikwi baada ya kumpoteza kamanda mmoja huko mkoani udom ambaye alikuwa akipiga show na akaondokea kwenye game. kumekuwa na maneno...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Wasalaam wana jamii Forums,kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenzenu yamenifika hayo. Ni rafiki yake na aliyekuwa mtu wangu kwani baada ya mtu wangu kufariki kwa ajali mwishoni mwa mwaka...
15 Reactions
581 Replies
120K Views
Habari zenu. Niwatakie maandalizi mema ya uchaguzi mkuu hiyo siku. Mungu akatupatie viongozi bora. Mada: Niliugua sana na dalili zote ilikuwa ni maralia, ila sikutaka kwenda dispensary kupima...
4 Reactions
40 Replies
9K Views
Back
Top Bottom