Je, una miaka mingapi na ulishafanya mapenzi na wanawake/wanaume wangapi mpaka sasa?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Je, una miaka mingapi na ulishafanya mapenzi na wanawake/wanaume wangapi mpaka sasa?

Binafsi mpaka sasa ndio nimetimiza miaka 25, lakini wanawake niliochakata mpaka sasa nilioweza kuwakumbuka na kuorozesha majina yao mpaka sasa wamefikia 83 ,

Kuna wengine niliopita nao mara moja moja nimewasahau, kuna niliokula tu bila kujua ata majina yao nimesahau

inshort sina idadi kamili ila ni kuanzia 83+

Je, wewe umefikia wangapi?
 
CV yangu ni kubwa lakini sijawahi kuona faida yake.
Nilianza kwenye kibaba na mama, nikaenda kwenye kufanya matusi, Kisha nikajongea kwenye kudinya kabla sijaanza kumimina mijibao.
Orodha ndefu iliyojaa kichefucuefu, uzinzi si jambo la kujisifu, ni udhaifu
 
kabisa mkuu ila ni utoto tu akikua ataacha
 
Back
Top Bottom