Mke wa mtu...

Mke wa mtu...

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,419
Huyu ni mke wa mtu, nilijuana nae zaidi ya mwaka mmoja nyuma kabla hajaoelewa, tulikua marafiki na nliwai kumtongoza akagoma kumbe alikua na lijamaa linamjali na kumpenda kuliko kawaida.

Mbaya zaidi jamaa yupo ila kasafiri kikazi yupo hapa hapa nchini, sasa huyu mdada inshort anazidiwa na mme wake sana kiumri and hamtaki mmewe na toka aolewe wamekaa wote mwezi mmja tu na hajazaa.

Mbaya zaidi anamsumbua mmewe arudishe mahali ili amuache free, dah inanipa wakati mgumu na inshort mmewe ana maisha mazuri na nyumba na usafiri n.k but mwanamke hampendi na hataki ata kumzalia kisa anataka aolewe na mimi, sawa ni mzuri ana asili ya uarabuni na shape ipo.

But mimi nmemshauri, ikitokea nafasi namla tu but asimsumbue mme wake, kakataa kabisa, kwao ni karibu na nyumbani, na kwa mmewe ni mkoa wa mbali kidogo na sahivi yupo kwao, hashauriki na amesema hamzalii mpaka waachane.

La mme wake kakaza maana anampenda, kasema atakaesababisha amuache anawaua wote, na yeye anajiua
 
Usiache kutembea na mafuta ya vaseline kwenye kikopo, utanishukuru baadae.
 
yeye kuachana na mumewe wewe inakuhusu au kukuuma nini na assume wewe ni kijana , tengeneza maisha yako mwenyewe , duniani hapa kuna watu zaidi ya billion 7 kufikiria kwamba huyu dada anaweza kuwa chaguo la pekee utakua unajidanganya na kujipotezea angekuwa anakupenda asingekubali kuolewa naye, what are you, second option?
 
yeye kuachana na mumewe wewe inakuhusu au kukuuma nini na assume wewe ni kijana , tengeneza maisha yako mwenyewe , duniani hapa kuna watu zaidi ya billion 7 kufikiria kwamba huyu dada anaweza kuwa chaguo la pekee utakua unajidanganya na kujipotezea angekuwa anakupenda asingekubali kuolewa naye, what are you, second option?
tulipotezana
 
Huyo alishaolewa wewe acha mazoea na mke wa mtu na uwe na msimamo, tofauti na hapo huyo mme wake atakuua na atamuua huyo mke wake utakaposababisha aachwe Kama alivyosema.
 
ʍkʊʊ ռɨքɛ ռօ ǟkɛ ռɨʍքɛ ʊֆɦǟʊʀɨ
 
wewe endelea unachokitafuta utakipata kwa mume wa huyo bi dada.

usiandike wosia kaa kizembe zembe,mpaka tuanze kuimba parapanda italia ndio utaelewa.
 
Back
Top Bottom