Urafiki na mapenzi...

Urafiki na mapenzi...

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Kiukweli sinaga maarafiki wanaoniongelea vibaya, Mara nyingi watu wanapenda kunijua lakini siwapi nafasi. Niko tofauti naweza piga story na mtu yoyote haimanishi ananijua au tunafahamiana. Kuwa na mpenzi nakuwa very selective kunakitu akiwanacho Basi lakini Kuwa na demu ilimradi Hilo siwezi Niko tofauti Bora niwe peke yangu .

Saa nyingine ninanguvu ya kujihisi tuko wawili lakini Niko peke yangu hii kitu inatokea sana ukijipenda kupitia kiasi, unaweza ukaona hata Kuwa na demu ni usumbufu Bora uwe peke yako.

Hivi Hilo ni tatizo au Sio tatizo?

Ni maisha ya wanaume wa Sasa hawapendi mademu wengi wanaona ni ushamba hayo Mambo ni ya watu maskini au wenye mawazo finyu, kutafuta furaha kwa njia ya sex au mahusiano Mara nyingi Wanaumia sana maana Bila mahusiano wanajiona Sio kitu
 
Wewe nawe endelea kujipenda ukimaliza njoo kwa sisi masikini tusio na mawazo endelevu tuendelee kuzichakata nyuchi za wadada......bila shaka wewe ni wale wanaume watanashati mnao shindana na dada zetu kwenye vioo mkiwa out mnarembua na kujilamba lips sana hahaahaah ......I have that kind of friend
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe nawe endelea kujipenda ukimaliza njoo kwa sisi masikini tusio na mawazo endelevu tuendelee kuzichakata nyuchi za wadada......bila shaka wewe ni wale wanaume watanashati mnao shindana na dada zetu kwenye vioo mkiwa out mnarembua na kujilamba lips sana hahaahaah ......I have that kind of friend
Noma sana😁😅
Maisha ya Sasa hautakiwi kuishi kwa mawazo mawazo, Kama mkimbizi.
🙌 mshana jr mganga wetu njoo Mshana Jr
 
Wewe nawe endelea kujipenda ukimaliza njoo kwa sisi masikini tusio na mawazo endelevu tuendelee kuzichakata nyuchi za wadada......bila shaka wewe ni wale wanaume watanashati mnao shindana na dada zetu kwenye vioo mkiwa out mnarembua na kujilamba lips sana hahaahaah ......I have that kind of friend
mbona umeongea kwa hisia na hasira kali mkuu

katoa maono na hisia zake hupaswi kumkejeli
 
Wewe nawe endelea kujipenda ukimaliza njoo kwa sisi masikini tusio na mawazo endelevu tuendelee kuzichakata nyuchi za wadada......bila shaka wewe ni wale wanaume watanashati mnao shindana na dada zetu kwenye vioo mkiwa out mnarembua na kujilamba lips sana hahaahaah ......I have that kind of friend
Kama Zero IQ mzee wa magazeti na kibanda Cha kiepe
 
Mtu anayejitambua akili hawezi kuwa na mademu lukuki haswa ukizingatia mademu wenyewe hawa wa Kibongo. Demu anatafuta mwanamme ili amlishe na kumnunulia vitu, kila kukicha anapiga mizinga mwanamme na ukimpa pesa anakwenda kutunza wanaume wengine wa kitaa. Mkuu uko sahihi kabisa....napenda your life style. Ishi kivyako ipo siku utapata demu wa maana, usidandie madaladala.
 
Kujipenda penda sana ipo siku utaanza kujila... chaputa nadhani tunaelewana
 
Kiukweli sinaga maarafiki wanaoniongelea vibaya, Mara nyingi watu wanapenda kunijua lakini siwapi nafasi. Niko tofauti naweza piga story na mtu yoyote haimanishi ananijua au tunafahamiana. Kuwa na mpenzi nakuwa very selective kunakitu akiwanacho Basi lakini Kuwa na demu ilimradi Hilo siwezi Niko tofauti Bora niwe peke yangu .

Saa nyingine ninanguvu ya kujihisi tuko wawili lakini Niko peke yangu hii kitu inatokea sana ukijipenda kupitia kiasi, unaweza ukaona hata Kuwa na demu ni usumbufu Bora uwe peke yako.

Hivi Hilo ni tatizo au Sio tatizo?

Ni maisha ya wanaume wa Sasa hawapendi mademu wengi wanaona ni ushamba hayo Mambo ni ya watu maskini au wenye mawazo finyu, kutafuta furaha kwa njia ya sex au mahusiano Mara nyingi Wanaumia sana maana Bila mahusiano wanajiona Sio kitu
Ni sehemu ya misimamo yako
 
Back
Top Bottom