Huyu binti Kanishangaza sana! Sijamwelewa kabisa

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Huyu binti tumekutana kwenye mitandao ya Kijamii. Yeye mwenyewe akanipenda. Nami nlipomwangalia nikamwona ni mzuri anapendeka.

Far more she is working na anaishi na wazazi wake. So pesa hazimsumbui anazo coz hana majukumu na kwao wapo vizuri.

Binti ni mweupe sana tu kiasili, umbo la wastani hana chura kubwa. Ana sura nzuri kiufupi analika na mwanaume yeyote yule na unaweza enda naye popote kwa majidai.

Shida ni siku anataka nikamle. Nilimwambia its ok tafuta Hotel unambie nije akashtuka."love mimi ndo nitafute Hotel?" Nikamwambia Yes. Kwani shida nini hapo?

"Akasema jamani yaani nilipie hotel kwenda kuliwa?" Nilimshangaa. Nlimshangaa sababu yeye ndio alitaka nikamle sasa anataka mimi nikalipie kwa suala ambalo yeye ndio analitaka! Nilimshangaa sana.

Ningetaka mimi huduma ningelipia. Sasa yeye ndio ka initiate hilo suala anasema yupo so horny. Nikamwambia unasemaje akanambia love njoo uninanii. Sasa yaani ugwadu wake yeye nikagharamie mimi? Hii ni akili ya wapi?

Nimemkatia mawasiliano since that day. Maana nilimwona ni kilaza hajaelimika. Sasa ameanza tena kutuma texts za kunisalimia. Namcheck tu anavyotaka tena kujilengesha. Atafute wanaume wa kugharamia nyege zake siyo mimi.
 
Ukitaka kwenda kunywa bia gharama anatoa anayehitaji bia au anayeuza bia? Mimi sijahitaji kumla yeye anataka kuliwa why sasa nigharamie mimi?

Hii ndo adha ya mwanamke kuanza kujipendekeza na kumpenda mwanaume
Mkuu uko na huyo mwanamke kwa sababu gani haswa?? Makubaliano yenu ni wewe uwe unamtoa hizo genye kwa gharama zake au??
Siku akitamani kutoka out atalipia gharama pia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Men are providers, inaleta security fulani hivi kwa mwanamke though sio lazima kila mara awe analipia huduma zote ni makubaliano yenu na mifuko yenu...

Muweke wazi kila huduma atakayohitaji atalipia
Asijetaka outing ya 3* hotel akajikuta anaitiwa polisi kwa kushindwa kulipa bili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom