Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume tunapitia changamoto nyingi sana, hii Dunia iko very harsh and unfriendly kwa mwanaume and this is how it was created to be. Alternative na mwanaume kuishi, kula, kunywa, kupata raha...
16 Reactions
35 Replies
3K Views
Tuwe waaminifu, tuheshimu ndoa zetu na hofu ya Mungu ni muhimu. Vitabu vya dini zote vimekemea uzinzi. Ila ukweli ni kwamba kila mwanamke ana ladha yake tofauti.Kusema kwamba utamaliza bucha zote...
53 Reactions
279 Replies
57K Views
Mapenzi kwangu ni uchoyo! Ndio ni uchoyo kwa maana ni nafasi ya kuwanyima wengine na kumpa yule special wako ambae ndio kiberenge wa moyo wako!. Mapenzi kwangu ni utimilifu, utimilifu wa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Nikijiswali cha uzushi, nimekumbuka baada jana kuona mmoja wa X wangu akipost kumbukizi ya miaka saba ya ndoa yake, nakumbuka siku ya Send off yake nilikuwepo, na ilitokea vulumai moja baada mimi...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu habari za asubuhi? Amaan naombeni ushauri,wiki iliyopita nilifanya kosa nikaachwa na mpenzi wangu,nimemuomba msahama amegoma katakata kwamba hatuwezi kuendelea kuwa wapenzi tena, juzi...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Haikua mbaya, nimetoka kitaa kutafuna soda mweleka. Na sio kwa ubaya, nilimpigia sim ili nimpe maelekezo kwamba aniandakie meatballs mixer black vinegar, mixer garlic, mixer ginger and cold salt...
12 Reactions
66 Replies
5K Views
Wanawake jamani, kuna Dada nilikuwa naye kwenye mahusiano. Alinisumbua sana. Kuachana naye direct nilishindwa. Ila niliamua niachane naye indirect Nilimpa nauli nikamwambia aende nyumbani kwao...
4 Reactions
94 Replies
9K Views
Sijasomea Saikolojia ila naamini hizi ni dalili za "psychological disoder" Tangu nilipokuwa mdogo nilitamani sana siku moja nipate mwanamke atakayenielewa na mimi kumuelewa tuanzishe familia ila...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Miaka hiyo ya nyuma nlifanikiwa safiri na demu mmoja mkali kwenye siti moja.bahati kama hizi ni nadra sana kutokea. Sometime unajikuta mmekaa kwenye siti wote sura zenu za stress. Yaani hapo ndo...
15 Reactions
43 Replies
6K Views
Naonaga kama usinichi flani we kila picha nayopost unalike tena wakati mwingine mpaka picha za miaka ya nyuma Huku ni kuchunguzana kwa kiboya Au wale wanapenda kushare picha zangu nazopost huo nao...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Dah kuna mademu wengine wanangu sana yani dah hawanipingi kivyovyote watawapinga mabasha zao ila kwangu hawapindui. Yani nachokubali wapo real naweza nikawa na shida hata ya kifedha...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Wanabodi la malavidavi Nina tatizo ninapolala usiku huwa najikuta wazungu wametoka na kufuli kulowana,naombeni ushauri na dawa ya hi,Nina mda mrefu nasumbuliwa naombeni ushauri
0 Reactions
57 Replies
8K Views
Mara ya kwanza namtoa out yeye aliagiza bia mimi nikaagiza soda ya coca. Akanicheka sana akaniuliza kama situmii pombe. Baada ya kumjibu kama situmii akanihukumu, kwamba kilevi changu itakuwa...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
1. Jambo la kwanza mawasiliano kama ni wewe tuu ndio unampigia simu mara nyingi kuliko yeye kukupigia inapita week au mwezi na vocha unamtumia tambua kuna tatizo 2. Jambo la pili ni ukiona...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Miaka minne iliyopita, kipindi nimepata kazi jijini Dar es Dalaam Nilianza kupanga nyumba maeneo ya hapa Dar, japo nilikuwa sikai nyumba moja zaidi ya miezi 6, nilikuwa nachoka tu na kuamua...
41 Reactions
58 Replies
8K Views
1: mpenzi wako hasa mwanaume unaedeti nae awe anacheat kwa kutoka na demu mwingine ambae sio malaya wakujiuza au 2: awe ni muumini wa zile malaya kabisa wale wanaosimama rodini au kwenye mabaa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Sehemu zozote ambazo idadi ya wanawake ni ndogo kuliko lazima pawe panaboa tu Ata baa ambayo haina mademu wateja huwaga ni wachache. Wanawake wananipa furaha sana.
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini wana Jamii Forums leo nimeona nishare na nyinyi hii mda maana wanawake ni viumbe ambao hawaeleweki kabisa. Kuna siku niko kwenye basi maeneo ya majohe hapa SSM sasa nikakutana na dada...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari za humu wanaJF? Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu. Kuna jamaa (tunafanya nae kazi) pia ni rafiki yangu tunaishi nae ghetto moja. Juzi katika kufanya usafi...
9 Reactions
55 Replies
4K Views
Back
Top Bottom