Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wenzangu wapendwa! Kufanya umalaya sio Jambo jema Ila kwa mwanaume nimegundua kuacha Umalaya Ni kazi ngumu sana kuliko wake zetu wanavyotufikilia. Mwanzo nilidhani labda kwa sababu ya siendi...
11 Reactions
47 Replies
9K Views
Ok, This is how it was. Nlienda Mbeya kikazi kwa muda wa kama wiki 3 hivi tokea 29th May mpaka 21st June. Muajiri alinilipia Hotel na chakula pale hoteli nlikuwa nikila ninachotaka na ku sign tu...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Wanawake wengi mnashindwa kuelewa, wakati unatongozwa pale unapewa ahadi kibao, ikiwemo kua utaolewa ile inakua ni zuga tuu, ili mtu apate anachotaka. Sasa mtu nmekutongoza, umekubali lakn kila...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Ila mpaka Leo nashindwa kuelewa jinsi ilivyo rahisi kugundua kama Una chat na mwanamke bila hata kuambiwa. Uandishi wa meseji za kike unatambulika kwa haraka zaidi Kwa mfano kama ni msichana...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
salaam wana MMU.. Ni mara ya tatu sasa nasikia hii kauli kutoka kwa mpenzi wangu, nimeitafakari sana na kujua kumbe kweli kuzaliwa mwanaume ni jambo la kujivunia.. Hata ktk maisha yetu ya...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Aisee katika pita pita zangu, si nikakumbana na gono bana. Sasa nikajitibu kimya kimya mpaka nikapona, yule daktari aliyenitibu nimejikuta niko deep in love with her. Leo...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Wakuu natumai mmeamka salama. Hebu tuweni wakweli, ni mda gani ukipita bila mgegedo uvumilivu hukushinda na kuamua kuutafuta kwa kasi ya 4G? Binafsi nikiwa na majukumu wiki itakata but zaidi ya...
2 Reactions
138 Replies
13K Views
Maisha ni safari na hatua ndefu ambayo kila mmoja wetu anayo tafsiri mbali na hii niliyoitumia. Kwa muktadha huo,Kama binadam bado kuna mambo au vitu ambavyo vinatuunganisha kwa sauti moja...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Habari za muda huu! Tulianza kukutana bombani, kadri siku zilivyosonga tukazoeana na akataka kupajua ghetto kwangu nikamwonyesha. Juzi kati akaniletea zawadi ya vest! Niliipokea lakini...
13 Reactions
333 Replies
21K Views
Wana MMU, Leo namuoa mwanamke wa ndoto zangu. Kila siku niliota kua na mke asie mlafi wa pesa, mpole, msikivu, mnyenyekevu, mrembo na mkarimu. Nimempata na saa chache toka sasa atakua mke wangu...
12 Reactions
112 Replies
9K Views
Moja kwa moja kwenye mada Mimi na mpenzi wangu tuna miezi mitano sasa!! Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti Tulikutana Dar, nikiwa nafuatilia mishemishe flani hivi, na yeye huko ndio kwao, ila...
8 Reactions
202 Replies
21K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Kama mnavyojua, inasemekana baadhi ya mitando mikubwa ya kijamii imefungiwa hapa nchini, kwahyo yakupasa kuwa na Virtual Private Network (VPN) ili kuaccess mitandao...
7 Reactions
60 Replies
6K Views
Wakuu kwema, Kuna mambo unaweza ukafanya kwa uharaka au kwa pupa kisha ukaja kugundua kuwa hukupaswa kulifanya aidha kwa wakati huo au kwa mtu huyo. Kumekuwa na malalamiko hususani kwa vijana...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu kwema Mimi nimekua mhanga mkubwa saana wa kucheza video games kwenye computer na PlayStation kutokana Mimi nimejiajiri mwenyewe so nakua na mda mwingii Sasa hii imepelekea mahusiano yangu...
6 Reactions
72 Replies
7K Views
Am in dilemma sielewi nimelia hadi nimeshachoka, hapa nina mimba ya miezi kadhaa, nimegundua baba kija ananicheat na BEST FRIEND wangu. Mimi na mwenzangu hatuishi mkoa mmoja kwasababu za kikazi...
9 Reactions
75 Replies
8K Views
Wanaume wengi wamekuwa wahanga wa kunyimwa tendo kutoka kwa wapenzi wao. Imekuwa ikitumiwa kama silaha na wapenzi wao ili kufanikisha malengo yao. Mfano labda mmekosana au hukutekeleza jambo...
8 Reactions
132 Replies
12K Views
Wapenda natumai mu wazima wa afya kabisa ingawa jua linazidi kutupiga ila ndo hvyo tunatafuta rizki hivyo hatuna jinsi. NAOMBA NIENDE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA. Leo ni jumapili nimeamka zangu...
5 Reactions
40 Replies
8K Views
Weekend iliyoisha jana si tu ilikuwa nzuri bali tamu kiasi na chungu kiasi!.. nilipata figure moja hiyo mpk sahivi najiuliza ni jini yule au dubwasha gani..? Kama kuna watu duniani basi wakike...
12 Reactions
66 Replies
5K Views
Huwa simwelewi huu mchezo anacheza eti ikifika zamu yake anapokea yeye laki saba alafu kila baada ya siku tano anatakiwa atoe mchango kwenye mchezo anaiomba mimi hela ya mchezo. Nimeshampa mara...
5 Reactions
54 Replies
7K Views
Back
Top Bottom