Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Safari ya mahusiano inapokaribia kufika mwisho kuna vitu vingi utaviona toka kwa partner wako kuanzia tabia na mienendo sasa inapofika hatua Mpenzi wako anataka muachane kuna vitu vingi...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Nna ka urafik na bint flan ndo ameanza 1st yr hapo taasis ya finance karib na kwa mzee Kama kawaida yangu huwa na invest sana kwenye urafik kwa hawa watoto wa kali pasipo kuleta mambo ya mapenz...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanaume mnisikie! Unapotumia Fedha kama chambo cha kumpata binti ujue kuna haya mambo mmawili 1. Wewe ni mshamba usiyejiamini na usiyejua namna ya kuzungumza, 2. Wewe ni mshenzi unayemlinganisha...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Aisee hawa viumbe mungu kajitahidi kuwaumba kwa namna yake, wao wanaamin katika kupewa tu,hawaamin kabisa katika kutoa. Wao ni wakupokea tu, hata Kama wanapesa, unaweza kuta mwanamke anakazi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
"Toka hapo nataka nifagie" Hiyo ni kauli iliyotoka kwenye kinywa cha mke wangu huku akiwa na bashasha ameshikilia fagio mkononi, mi ndio nilikuwa nimerudi kwenye mizunguko ya hapa na pale kwa...
12 Reactions
57 Replies
4K Views
Habar za weekend wadau naomben leo tudiscuss hii topic bila matusi hii thread nilifungua lkn mod waliifuta sababu comment nying zilijaa matusi sasa basi leo naomben twende taratibu Km kichwa cha...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Closed
Wakuu hili swali sijawauliza ninyi ila nimejiuliza mwenyewe sijapata jawabu mnaweza kunisadia. Huyu ni mwanamke rafiki ake na mpenzi wangu wa zamani ,anajuwa nilivo kuwa na care rafiki yake sema...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
Inaendaje hii. Wanaume mtupe muongozo
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari waheshimiwa!! Nimekuwa nikisikia na kusoma mara kwa mara wanaume wakilalamikiwa na wanawake kuwa hawawaridhishi katika mambo mbalimbali. baada ya kufanya uchunguzi binafsi niligundua...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naona kama anakuwa na wakati mgumu sana wa kufanya hivyo, Muda wote yuko chini ya uangalizi, Si hivyo tu ziara nyingi anakuwa kaongozana na First lady hata hivyo yeye ni kama kioo anatakiwa awe...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Ni mrembo anaekonga nyoyo za mabaharia humu jf kwa kuleta upinzani wa jadi wa hapa na pale😂😂😂 Si mwingine ni mSweet Marianah hebu comment kama mpenzi wake kwa huu muonekano wake. Angalizo...
16 Reactions
189 Replies
20K Views
Katika mahusiano wanawake huwa wanauliza vitu vingi sana ila ikifikia hatua anakuuliza maswali haya anza kujitathimini mapema 1.mwanamke akikuuliza una malengo gani na mimi na upo ndani uhusiano...
5 Reactions
51 Replies
7K Views
Mwanzo nilikuwa najua sisi wanaume tunawalazimisha wanawake kuwaingilia bila condom lakini nimekuja kujua wenyewe hawapendi sex na condom.mtu mmejuana leoleo na bado haogopi anataka upige kavukavu...
4 Reactions
33 Replies
8K Views
Nimewaza sana,nimefikiria sana nikaona bora niwashirikishe wadau...maana inafika kipindi mwanamke kakosea unampiga,unamtukana na kutishia kumuacha afu baadae roho ya huruma inakujia..unaanza...
4 Reactions
52 Replies
8K Views
Habari za kazi wadau wenzangu wa JF Kutokana kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana wa karne ya 20 lakini kuna jambo ambalo linanitokea hali ya kwamba nimeshindwa kulipatia ufumbuzi juu ya...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Hey! Wakuu wajukwaa hili naamini bado hamjakata tamaa kwenye lolote na bado mapambano mpaka dakika ya 90. Basi wakuu katika pitapita nikakutana na mtoto mmoja kaloweya Dodoma, sema kwao Handeni...
8 Reactions
114 Replies
10K Views
Huyu mbwa anaitwa George. Hana furaha na mawazo baada ya kumpoteza rafiki ake wa miaka 12, aitwaye Labrador. Haijulikani baadae kuwa huyu bata alitokea wapi . Inaonekana alitokea kujua hali ya...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
Jumapili kwangu imekaa vizuri sana, niko zangu nimechill getto na familia yangu. Kwa wenye changamoto poleni sana. Dada zetu habari zenu, naomba mnisamehe kidogo kwa wale ambao linawahusu hili...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi heshima kwenu nyote ambao wote mnaendelea kupigania kupata mkate wa siku ili mradi tu mkono uweze kwenda kinywani. Wakuu wiki iliyopita nilipata msala wa "main chick"wangu...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Enzi za primary,unamzimia mtoto wa watu (unayesoma nae).. sasa ile kumwambia inakuwa mtihani kweli kweli!! Inakubidi utumie mbinu mbadala,unachana ki karatasi then unashuka madude mwanaume!!!😃 Ile...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom