Aisee sijaamini kama huyu member ndio mzuri hivi

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
66,989
173,603
Ni mrembo anaekonga nyoyo za mabaharia humu jf kwa kuleta upinzani wa jadi wa hapa na pale😂😂😂
Si mwingine ni mSweet Marianah hebu comment kama mpenzi wake kwa huu muonekano wake.
IMG-20190723-WA0004.jpg

Angalizo:
Mabaharia msianze fujo piemu kuna mbwa mkali huko 😆😆😆
 
Ni mrembo anaekonga nyoyo za mabaharia humu jf kwa kuleta upinzani wa jadi wa hapa na pale😂😂😂
Si mwingine ni mSweet Marianah hebu comment kama mpenzi wake kwa huu muonekano wake.
View attachment 1160226

Angalizo:
Mabaharia msianze fujo piemu kuna mbwa mkali huko 😆😆😆
Kizuri kula na mwenzio

dhambi ya uchoyo inakunyemelea unapaswa uishinde
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom