Tuache masihara, hivi kuna uwezekano kweli Rais wa nchi kuchepuka?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Naona kama anakuwa na wakati mgumu sana wa kufanya hivyo, Muda wote
yuko chini ya uangalizi, Si hivyo tu ziara nyingi anakuwa kaongozana na First lady
hata hivyo yeye ni kama kioo anatakiwa awe mfano kwa wengine. sikusudii Tanzania
Nchi yoyote ile hasa za kiafrika.
band1a_original_7589.jpg


Inawezekana kweli Raisi wa nchi kuchepuka?
 
Back
Top Bottom