Mpenzi wangu amekuta sms za mwanamke mwingine katika simu yangu.

mwarabu wa dubai

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
320
500
Habarini wana jamvi heshima kwenu nyote ambao wote mnaendelea kupigania kupata mkate wa siku ili mradi tu mkono uweze kwenda kinywani.

Wakuu wiki iliyopita nilipata msala wa "main chick"wangu kumradhi kwa kutumia kiswa-english kwa kuzifumania sms za mwanamke mwingine kwenye "my cellural phone".

Nakumbuka nilipitiwa na usingizi ndipo alipotumia mwaya huo kupata chance ya kuingia inbox vilevile katika app ya whatsapp,dah ulipofika muda wa kulala sasa bidada ndipo alipoanza kuleta timbwili la kutaka kujua ukweli wa tukio hilo.

Nimemchunia zaidi ya wiki sasa ila nikaona sio fair ngoja niombe msamaha cha ajabu amenisamehe na sikufanya ajizi nikala mzigo muda huo huo.Let us cut the story though nina maswali kadhaa ya kujiuliza.

01/Msamaha alionipa ni wa kinafki au unauhalisia?

02/Kwanini aliniruhusu kumega tunda lake na maisha kurudi kama awali?

03/Kumbuka hatuna ndoa mimi na yeye!!Kila mtu anaishi kwake ila huwa namgegeda kwake most of the time.

I humbly submit.
 
Malume

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
605
1,000

Jiamini bro, umesamehewa kama mpaka pussy umepewa basi mambo yameisha ila dont give yourself assuarance to that extent
 
Nsam

Senior Member
Oct 25, 2018
188
250
Habarini wana jamvi heshima kwenu nyote ambao wote mnaendelea kupigania kupata mkate wa siku ili mradi tu mkono uweze kwenda kinywani.

Wakuu wiki iliyopita nilipata msala wa "main chick"wangu kumradhi kwa kutumia kiswa-english kwa kuzifumania sms za mwanamke mwingine kwenye "my cellural phone".

Nakumbuka nilipitiwa na usingizi ndipo alipotumia mwaya huo kupata chance ya kuingia inbox vilevile katika app ya whatsapp,dah ulipofika muda wa kulala sasa bidada ndipo alipoanza kuleta timbwili la kutaka kujua ukweli wa tukio hilo.

Nimemchunia zaidi ya wiki sasa ila nikaona sio fair ngoja niombe msamaha cha ajabu amenisamehe na sikufanya ajizi nikala mzigo muda huo huo.Let us cut the story though nina maswali kadhaa ya kujiuliza.

01/Msamaha alionipa ni wa kinafki au unauhalisia?

02/Kwanini aliniruhusu kumega tunda lake na maisha kurudi kama awali?

03/Kumbuka hatuna ndoa mimi na yeye!!Kila mtu anaishi kwake ila huwa namgegeda kwake most of the time.

I humbly submit.

Mara nyingi kama bint amefikia muda wa kuolewa anaweza kufunika kombe mwanaharam apite
 
kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
4,685
2,000
Amekusamehe ndio inawezekana ameona huyo mwanamke mwingine ana vigezo kuliko yeye

Pili inawezekana nae pia ana bwana wke kwaiyo alichoona ni sawa na both team to score unachofanya labda yeye anafanya zaidi

La mwisho nawe jiandae kumsamehe ukikuta madudu yke na hata akikusaliti ukijua reference utakuwa ni wewe

La mwisho Jiandaaaee Jiandaeee
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
5,046

Hili jibu poa sana
mara nyingi wenye gubu na hawasamehi haraka huwaga hawana pakupozea machungu.
 
grand millenial

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
1,879
2,000
1.Hakuna mwanamke anayesamehe kiholela hivyo.

2.Wanawake wana tabia ya mawimbi anatulia kwanza kukuaminisha hali shwari kisha unajisahau kabisa na kurudisha mapenzi kwa asilimia zote kumbe yeye anajikusanya sasa kisha anakuja kukupiga tukio ambalonhautokaa uweze kusahau maisha yako yote na kama una roho ndogo lazima either uende jela au uishie kaburini(suicide).

3.kama nilivyoelezea kwenye namba mbili hapo juu, jiandae kwa chochote mkuu i mean chochote .

SPANA.

Niseme kuwa wewe jamaa ni fala kwa maana kama unajijua kweli sio muaminifu , kwanini usiwe hata na simu ya pili ya kufanyia matukio ambayo hata yeye hatokaa aijue yaani unaiwekea sheria na kuzifuata effectively.

Yaani hata ukiwa naye unakuwa unamuachia simu yako ya kawaida anakaa nayo anaitumia atakavyo hapo ungekuwa na mahusiano yasiyo na shaka.

USHAURI.

Kwa sasa amini kwamba haujasamhmehewa mkuu, cha kufanya kama unampenda kweli tafuta siku umtoe hata dinner mkakae sehemu imetulia kisha m discuss hii issue .

Na kwa sababu ulishakubali basi ndo ujishushe tena mpate dinner nzuri mtoto atafunguka tu na uapie kutorudia tena ikiwezekana na ufute namba zoote (kama una akili tengeneza email ya pili google kisa email unayoitumia kwa sasa fanya ku upload namba zoote humo kisha logout kwenye hiyo email halafu login na hiyo mpya).
Kisha sasa ndo ufute namba zoote akiwa anaona kabisa ( kwa sababu bado utakuwa nazo google kwenye ile email nyengine) .

Kisha mkirudi sasa ndo umpe game nzuri mmalizane home na akikisha kama kuna kitu alikuwa anakipenda sana na hakukipata either nguo au hata vipodozi n.k unampatia kama suprise huku ukiendelea kusoma upepo.

N.B
Ni rahisi sana kwa mwanamke kupoteza uaminifu kwako , yoote niliyolushauri hapo juu ni ili angalau urudishe kwanaza uaminifu uliopotea ili kama kuna kajamaa kalishaanza kuonesha interest kapigww chini kwanza.

Ila fanya yoote hayo kama una malengo naye , am out.
 
mwarabu wa dubai

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
320
500
Asante sana mkuu.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom