Hakuna mapenzi kama hakuna hivi vitu

Status
Not open for further replies.

April26

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
1,403
2,119
Jumapili kwangu imekaa vizuri sana, niko zangu nimechill getto na familia yangu. Kwa wenye changamoto poleni sana.

Dada zetu habari zenu, naomba mnisamehe kidogo kwa wale ambao linawahusu hili, Nina imani sio wote walio na hulka hii. Nategemea tulenge kujifunza kuliko chochote.

Mada: Wakuu ukiondoa Sex (kumpa ngono mwanaume) mwanamke hana kitu cha kumsimamisha kifikra na kumfanya awe na jeuri mbele ya mwanaume, anaweza ku-offer nini?. Pia ukiondoa Pesa (mwanaume kumhudumia mwanamke) hakuna kinachoweza kumvuta mwanamke kwenda kwa mwanaume kwa dunia ya leo

Nimetaja Pesa na Sex na nikalenga zaidi jinsia ya KE sio kwa maana mbaya wala kuwagandamiza, ni uhalisia kabisa kama hujaona subilia yako njiani tuombe uhai.

Tuseme kwamba mwanamke wa kileo hana nafasi wala uwezo wa kutoa Sex kwa jamaa na wakati huo mwanaume wake hana uwezo wa kutoa Pesa kwa mwanamke huyo, unadhani nini kitatokea ??

Narudia hivi, tofauti na Sex mwanamke unaweza kumpa nini mwanaume ?? Na ikiwa ni Sex pekee unayoweza kutoa je upo tayari kukaa na boy/man ambae hana Pesa ?

Assume wanaume wote hawana Pesa ndo kusema neno Sex/kufanya tendo la ndoa litapotea kwenye dictionary za miaka ijayo?

Sijui kama naeleweka vizuri, wakuu kiufupi dunia ya leo ni mwanaume pekee mwenye upendo kwa % nyingi zaidi kuliko wanawake walio wengi wanao felisha wachache walioko real.

Hivyo basi, kwa dunia ya leo ukiona penzi LIMENOGA ujue katikati Pesa ndo inasafisha na kufagia penzi.

Kama kuna mtu ana bisha na kusema kuna mapenzi ya dhati yaani DHATI ya kwenye vitabu vitakatifu ambayo hayategemei Pesa kwenye nyakati hizi aandamane !

Wadada (sio wote) wale wenye fikra lengwa tafuteni Pesa zenu. Wanaume tulishaga juwa kuwa bila Pesa hatutoboi so tulishajipanga zamani.

Ukiona mwanaume anakupa Pesa haimaanishi anakupenda. Na sisi wanaume tunajua nyie wengi wenu hamna chochote cha kutupatia tofauti na sex.

Mwisho, mwanaume anahitaji heshima, hekima na kumuelewa tu. Maana hata Mungu alijuwa hamna vitu vya kutupatia baada ya Sex akawaambia MTUHESHIMU na sisi tutawapenda.

Uzi tayari.
 
Ni kweli pesa, pesa ni kila kitu kwa mwana umme, hata ndg zako hawata kuthamini bila pesa kanisani utathaminiwa ukiwa hoi.......mwana mke akikwambia "I miss you baibi" muulize what does she miss exactly my wallet or sex, hawezi kujibu kwasabb their pretenders ila are 'money mongers'
 
Ni kweli pesa, pesa ni kila kitu kwa mwana umme, hata ndg zako hawata kuthamini bila pesa kanisani utathaminiwa ukiwa hoi.......mwana mke akikwambia "I miss you baibi" muulize what does she miss exactly your wallet or sex, hawezi kujibu kwasabb their pretenders ila are 'money mongers'
Iko hivo mkuu.
 
Tatizo maisha mnaya define katika upande wa miji na majiji yaliyoendelea tu pekee

Lakini huko vijijini ileje na huko mchamba wima watu wanapeana chiu bure bure tu ' na maisha yanasonga

Hizi changamoto tunazo ziongelea hapa zipo mijini tu peke yake ila huko vijijini vyakula bure tu na hakuna mahitaji mengi so wakazi wa huko wao Ni kulima tu kuvuna na kupeana utamu bure bure ''
 
Maisha ya sasa iv yanachangamoto sana.. Hilo swala kutoa pesa kwenye mapenz ni kamfumo fulan ambacho tumejijengea na sipatii picha kwa kizazi kijacho sijui itakuwaje..

Hii hali imepelekea wanawake(sio wote) wanatarajia kupuewa pesa baada ya mnyanduano.. Na sometimes asipo pewa anaweza akanuna siku nzima..

Kwa mazingira kama hayo mwanaume inabid tu uachie jimbo. Wanawake tengenezen kwanza mazingira ya kuaminika, mmekutana ata week haijaisha usha omba eifi 30.

Naunga mkono hoja.
 
Kijijini kwetu ukimpea demu hela anahamaki, like “umeniona mimi malaya”!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Umenikumbusha kitu kuna mmama fulani hivi umenisumbua sana hii wiki basi jana ikabidi nimueleze ukweli kwamba mimi nashindwa kuonana naye kwa sababu nitashindwa kumpa pesa halafu baadae iwe lawama.
Basi nilivyomchana hivyo akaishia kujibu tu mh!baadae kapotea yuko kimya hadi leo

Back
Top Bottom