Fahamu maswali magumu yanayoulizwa na wanawake ambayo yanafungua lango kuachwa kama majibu hayajatosheleza

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Katika mahusiano wanawake huwa wanauliza vitu vingi sana ila ikifikia hatua anakuuliza maswali haya anza kujitathimini mapema

1.mwanamke akikuuliza una malengo gani na mimi na upo ndani uhusiano nae zaidi ya mwaka

2.Ni nini hatma ya mahusiano yetu Kati ya mimi na wewe hapo mmeshakaa zaidi ya miezi Sita

3.Ni lini utakuja kwetu kujitambulisha

4.ni lini utanipeleka kwenu kunitambulisha

5.ni lini utakuja kwetu kunitolea mahaliii

Kama una mengine Hebu ongezea maswali ambayo hufungua lango la kuachwa kama usipojibu inavyotakiwa
 
Hapo hakuna swali gumu bruh, badilisha iyo heading
 
Mkuu.
Hakuna swali gumu hapo. Labda kama ni mseminari hapo ndo ugumu utauona
 
Braza naona Mning' inio wa Kuachwa bado unakusumbua, kaa utulie kwanza. Kwa Mwanaume hakuna swali gumu hapo wala hakunaga swali lisilojibika kutoka kwa mwanamke.
 
Ukishajua matarajio ya muuliza swali ni yapi basi hilo swali haliwi gumu tena... unajibu anachotaka kukisikia tu.
Nashangaa jamaa anaogopa kujibu maswali mepesi kama hayo wakati yanaweza kujibika kwa neno moja tu, "Mwakani" unakuwa umemaliza mchezo mzima na ili kero zisizidi unamtambulisha kwa ma shangazi tu umemaliza mchezo 🤣🤣🤣

Swali gumu ni hili tu..."Umepata wapi namba yangu" hapo ujanja wote huwa natiaga mfukoni
 
Nashangaa jamaa anaogopa kujibu maswali mepesi kama hayo wakati yanaweza kujibika kwa neno moja tu, "Mwakani" unakuwa umemaliza mchezo mzima na ili kero zisizidi unamtambulisha kwa ma shangazi tu umemaliza mchezo

Swali gumu ni hili tu..."Umepata wapi namba yangu" hapo ujanja wote huwa natiaga mfukoni
swali linahitaji akili sana hilo kulijibu.
 
Hayo siyo maswali magumu siku ashike simu yako halafu akute chatting za ajabu then akuulize "Baby huyu uliemsevu Toto tundu ndo nani..??"
Hapo ndo utaelewa ipo siku mbingu zitafunguka nazo zitamlaki bwana yesu..😂
Mwanamke akikuuliza swali, usimdanganye...jibu analo tayari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom