Vitu vingine hata kwenye ndoto havipo, hivi ulishaota unapewa hela na mwanamke

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,137
21,274
Aisee hawa viumbe mungu kajitahidi kuwaumba kwa namna yake, wao wanaamin katika kupewa tu,hawaamin kabisa katika kutoa.

Wao ni wakupokea tu, hata Kama wanapesa, unaweza kuta mwanamke anakazi, mshahara mkubwa tu, ila pesa yake inapoenda haijulikani na bado atataka pesa yako ili aitumie.

Mwanaume upo na mwanamke mwenye kipato na mshahara kabisa ila, mboga, mafuta, kodi, shule watoto, ada, mavazi, usafiri, vyote unagharamia, huku mwenzio akiwa haoin hata aibu, kama unataka ugomvi jaribu kuhoji pesa zake anaweka wapi, utakuwa umewasha moto ambao kuuzima huwezi, ni sawa sawa uanze kuhoji mshahara wa wabunge, utabanguliwa mpaka ujue kuwa hujui.

ifike hatua waelewe kuwa, tupo ulimwengu ambao kila mtu anatamani kupokea, hakuna aliyetayari kutoa, imagine wewe ni mtu wa kutoa tu bila kupokea, lazima psychologically uwe affected.

Nyie mnaopenda kupokea pokea huku kutoa hamuwezi acheni hizo tabia za kinyama, inasikitisha sana

Uzi tayar
 
Tafuta sugar mummy mkuu
Huwa wanajiongeza
 
Kabisa kabisa. Ndio maana wanakuambia hapo ndani wewe mwanaume una Tsh.20,000 na mwanamke ana Tsh. 50,000. Hapo nyumba nzima mna 20,000 tu. Hilo ni kweli kabisa ukitaka kukorofishana nae uliza mshahara wake anautumia kwa kazi gani?

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Mimi na mke wangu tunasaidiana sana katika kulisukuma gurudumu la maisha yetu. Tulijijengea tabia hiyo tangu tukiwa marafiki kisha wachumba hadi mume na mke na mwishowe baba fulani na mama fulani. Ndoa tamu hakiyanani!
 
tusaidie kwenye hili mkuu pale unapohitaji kama twenty la fasta unamwambiaje
 
Back
Top Bottom