Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,767
- 5,316
Nimewaza sana,nimefikiria sana nikaona bora niwashirikishe wadau...maana inafika kipindi mwanamke kakosea unampiga,unamtukana na kutishia kumuacha afu baadae roho ya huruma inakujia..unaanza kumbembeleza japo kosa ni lake...unampigia magoti na kumwambia tema mate unichapee....je hapo inakuwa limbwata au...