Habar za weekend wadau naomben leo tudiscuss hii topic bila matusi hii thread nilifungua lkn mod waliifuta sababu comment nying zilijaa matusi sasa basi leo naomben twende taratibu
Km kichwa cha habar apo juu kinavyojieleza wanawake ni watoto wenye umri mkubwa unajua hili wazo sikukurupuka kuandika nimeangalia mitazamo tofaut tofaut hata kwenye gazeti la mwananchi ilishawah kuchapishwa hii taarifa kuwa wanawake ni watoto wenye umri mkubwa
Ebu jaribu kuangalia wanavyopenda kula chipsi mayai chek vyakula wanavyopenda kula chek wanavyopakatana chek wanavyo piga soga kibarazan check walivyo wanashawishiwa kwa vitu km gar.pesa nk chek wanavyopenda kukumbatiana kuna mambo mengi sn ya kuangalia lkn ukitafsiri yote haya utaamin nachpsema
Wanawake ni watoto wenye umri mkubwa nasubir mawazo yenu wadau