Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Huwa ni mkosoaji yaani haswa ktk uvaaji wako wa nguo na muonekano wako. 2. Hakuungi mkono katika mipango yaani unaweza mweleza mipango yako yee anabaki kukuangalia. 3. Hana stori na wewe na...
13 Reactions
40 Replies
9K Views
Hi wana JF Naomba tuanze kulizungumzia swala hili leo .... Wakati tathmini zinaonyesha kuanzia mika ya 80 kurudi nyuma ndoa 15% tu ndio zilionekana kuwa mmoja ya wanandoa alibaki pekeyake kwa...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Katika harakati za mahusiano, kuna kile kipindi mtu hua unapitia, unampenda mtu kweli kweli. Unaumia sana kwa mambo anayokufanyia lakini yeye hajali. Unamuona yupo Online lakini hajibu text na...
10 Reactions
37 Replies
8K Views
Hii nadharia ina maana nyingine tofauti na ninavyojua mimi? Kwamba upo na mwenza wako ndo Duniani wawili wawili? Nadhani imewahi kukutokea umekutana na mtu ambaye anafanana kabisa na mtu mwingine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kinachofanya jamii iharibike ni Ile dhana ya Wanawake nao kutaka kuchagua mtu ata Kama Hana nyuma Wala mbele, matokeo yake mwanamke anazaa na wanaume wa ajabu ajabu hawana malengo na kupelekea...
11 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari za usiku all members Niende direct tu mimi bado sijaoa ila nimeshudia mengi katika harakat zangu za utaftaji na kuchangamana na wanajamii wenzangu ingawa ni kachalii tu Nawasihi sana...
20 Reactions
86 Replies
10K Views
Mahusiano huwa yana siri kubwa usione watu wako pamoja, wanafurahi pamoja, wanacheka pamoja lakini ukichunguza in deep unagundua kuna mmoja hana upendo na mwenzie ila anaishi mwenzie ili mradi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Now wanawake hawataki kukaa sehem yenye njaa yaani sasa hivi kila mwanamke uliyenaye atahitaji huduma na kumuwekezea yaani wanawake wa sasa vichwa vimeamka sio kama zamani, utaskia vikoba sijui...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Kuna wanaume wanatokeaga kupendwa sana na wanawake lakini kwa sababu wana ushamba wa mapenzi, mwanamke anatokea kufanya shughuli kubwa mno ili kumrahishia mwanaume kazi lakini bado mwanaume huyo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Kwasasa nipo single (Mtasema tangazo, whatever) Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano ni Kwamba lazima umfulie nguo na...
20 Reactions
653 Replies
44K Views
Salaaam. Kuna wanawake wengi tu kwa kudra za Mwenyezi Mungu wamejaaliwa maisha sio mabaya wamepanga au wamejenga na wanabadilisha mboga kila siku. Bahati mbaya walipata watoto ila wakashindwana...
10 Reactions
79 Replies
6K Views
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX Boy: hello...
18 Reactions
150 Replies
10K Views
Mama Shedrack ananipigia simu huku akiongea kwa hudhuni "Inakuwaje rafiki yako anafikia uamuzi wa kutaka kujiua na nyie mpo?" Kiufupi Shedrack ameshahudumia sana kwa Mary. Walianza urafiki...
17 Reactions
66 Replies
7K Views
Kichwa cha habari hapo juu cha husika Mimi ni pacha ke na me. Katika udada wangu kitu sipendi ni kudate mtu ambaye anaishi kwao, Kama niliwahi basi niwakati Nikiwa sekondari Kama sijasahau Sasa...
7 Reactions
86 Replies
8K Views
Habari wakuu, katika mizunguko yangu ya siku zote mara nyingi nakutaka na warembo wengi sana, ila mara nyingi huwa wanatembea wakiwa wawili hivi ni kwanini nyie viumbe mko hivyo, kwanini mnapenda...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Umeota upo na moja kati ya watu maarufu / mashuhuri hapa nchini Kama sio ulimwenguni kote. Mko mnajadili Mambo ya maendeleo na ndani ya ndoto unajiskia faraja. (Ndoto/njozi hii inamaana gani?)...
1 Reactions
19 Replies
28K Views
Habari zenu wana JF kwa hapa nilikuwa najipanga kuanzia mwakani niweke mimba hivyo nilikuwa nataka kufahamu gharama za kulea mimba mpaka mama mjamzito anajifungua. Gharama za Kulea mtoto na mama...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
hili suala nimekuwa nikilifikiria sana., kwa muda mrefu sana. nmekuwa nikisoma watu mbalimbali wakizungumzia vis ana mikasa ya maofisini. najikuta kukweli wakati mwingine nawaza maybe wife asiwe...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Hello, mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27 niko Dodoma, nahitaji mchumba/girlfriend mwenye age 18 - 25 ambaye yupo serious na ana real love coz nitampenda na kumpa nafasi anayostahili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilitumwa na mteja wangu mmoja kumtafutia mume huku nikaweka masharti tu ya kueleweka Matokeo yake nimeingia fedheha kubwa kumbe mwanamme niliempeleka ana mke na watoto 3 hawajaachana tena...
6 Reactions
89 Replies
7K Views
Back
Top Bottom