Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna tabia flani ntaaita ya kishwaini ambayo tunayo wabongo hasa wenye sijui ni ushamba au, mtu kakuomba assistance katika jambo lake flani au kakwama hivi... Unampa shavu halafu baadae huko ni...
21 Reactions
72 Replies
5K Views
Habari za mchana wakuu wa MMU. Natumai mpo salama na mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya hapa na pale. Lengo kubwa la uzi huu ni kutaka kujua ni ishara gani au ni vitu gani vinadhihirisha...
5 Reactions
60 Replies
7K Views
How oftentimes would it be a smart thought for one to have a sexual cooperation? Giving closer thought to women, whom are continuous investigation suggests that they have a more noticeable sexual...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Maisha ya ndoa una weza mpenda mwenzako Sana lakini ukimkosea kidogo anakuacha anaondoka unabaki unaumia tuu. Mwingine unaweza ishi naye kwenye ndoa lakini humpendi inakua Kama mliowana kwa bahati...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Nilipompata Zion kama mzazi yoyote ilikuwa ni furaha sanaa alileta furaha maishani mwangu na mwanzo mpya katika maisha yangu. Katikati maisha yangu yoote nilikuwa muoga sanaa kupata mtoto sikuwa...
9 Reactions
106 Replies
41K Views
Mama enzi zako hakukua na insta, facebook, whatsapp, badoo, tagged , tinder sikuhizi watu wanatongozana mitandaoni wanaitana mume mke kabla hata ya kuonana[emoji16] wanaombana nauli/ hela...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna mwanaume yyte ambaye ameshawahi tibiwa nguvu zetu hizi Kwa hawa wataalamu wa tiba asili na akapona?
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Tonight I would like to share a word of inspiration. A word of renewed hope to each of us. Tests that we go through in life were made for us, and the best of us to our Creator are those who are...
18 Reactions
22 Replies
2K Views
1. Njia ya kwanza ni kupeana likizo yaani hii ndio njia pekee kila mmoja kujitafakari lakini kipindi mkiwa likizo mara moja moja mnakuwa mkiwa wasiliana mpka inafika hatua mnapotezana taratibu 2...
6 Reactions
34 Replies
6K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 saizi, sijaoa ila nina watoto wanne(4) ambao nimezaa na wanawake tofauti tofauti. Nahitaji kuwachua watoto wangu wote nikae nao iwe kama familia yangu iliyokamika ila...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
How Chrissy Teigen and John Legend Fell in Love Photo: GETTY Ah, celebrity love stories. They’re just like our own stories of romance, except a lot more fancy (and often quite a bit more...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama mjuavyo nina mke na watoto mapacha wana miezi 8 sasa, ila changamoto inakuja wakati nataka kumpa haki yake mama yao, watoto waasumbua balaa yaani inabidi nijiibe fasta fasta yaani hata...
10 Reactions
178 Replies
42K Views
"Hataki muwe zaidi ya hapo, anakuchukulia kama rafiki!" Stori inakwenda hivi; baada ya kumwangalia kwa muda mrefu, huyumwanamke anambae anakuuwa pole pole kwa mvuto wake, ambae anakila kitu...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu, kwa utafiti wangu wa kawaida kutokana na miangaiko na pirika pirika za maisha nmeona kuwa wanaume tunatafuta pesa kwa ajili ya wanawake haswa..japo zipo sababu nyingine lakini kuubwa...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Ni ngumu na inahitaji imani ya kweli (Sijafanikiwa bado) Kwa mujibu wa imani yangu, kufanya tendo la ndoa na mwanamke ambaye hujafunga naye ndoa huitwa ZINAA, UZINZI, UZINIFU na ni makosa...
27 Reactions
61 Replies
6K Views
Girlfriend nilizaa naye mtoto ana miezi mitatu Nataka nipange chumba niweke godoro vyombo vya kupikia n.k Aje tuishi nipambane kutafuta mahitaji kwa ajili yetu wote... Sina kazi rasmi bali...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu Nilikua single kwa kipindi kirefu saana na hii niliamua kutoka moyoni mpaka 2022 ndo niingie Tena kwenye mahusiano huku nikiwa nimekamilika. Kwa hiyo nilikaa single wee Sasa miezi miwili...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Hua nikipata muda hua siachi kuwaasa wanaume wenzangu mambo yahusuyo mahusiano na maisha yao. Hii ni kuwakumbusha tu, kua na mpenzi mmoja ni hatari kuliko kua na ugonjwa wa kisukari na presha...
13 Reactions
146 Replies
13K Views
Habari gani wana jamvi pendwa la MMU. Ni matumainj yangu kuwa wote mu wazima wa Afya. Kama maada inavyojieleza, mie nina manzi angu niko naye ambaye hadi sasa tunaweza kuwa tumefikisha miezi 11...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom