Muheshimu sana mume wako...

Muheshimu sana mume wako...

Toffy_boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
280
Reaction score
311
Habari za usiku all members

Niende direct tu mimi bado sijaoa ila nimeshudia mengi katika harakat zangu za utaftaji na kuchangamana na wanajamii wenzangu ingawa ni kachalii tu

Nawasihi sana wanawake mlioolewa muoneshe heshima ya hali ya juu hasa ukiangalia familia zetu nyingi hapa Afrika ME ndo wataftaji wa familia tunakutana na masaibu mengi sana katika utaftaji ikiwemo kugombana, kutukanana , kudhulumiana na wakati mwengine kupigana

Hayo yote tunafanya kuhakikiaha nyumbani tunapeleka chochote ila inauma sana tunaporud hom halafu mnaleta pigo za maneno ya kukwazana

Kumbukeni tumeumbiwa mapenzi kufarijiana sio kukwazana

Nawasilisha nisiwachoshe
 
We love women
20201109_100948.jpg
 


Ooh mpenzi Marina umeniacha kisa sina kazi (kweli)

Haka kawimbo uwa kananiliwaza
 
Back
Top Bottom