Hivi kwanini wanawake wanapenda kutembea wawili wawili

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Habari wakuu, katika mizunguko yangu ya siku zote mara nyingi nakutaka na warembo wengi sana, ila mara nyingi huwa wanatembea wakiwa wawili hivi ni kwanini nyie viumbe mko hivyo, kwanini mnapenda kuongozana kama kumbikumbi
Huwa najiuliza ni kwamba wanaogopa mtongozo au nini?
Wakuu nyie mnaonaje?
 
Lack of self confidence......
 
Ni unafiki tuu. Hakuna viumbe hatari sana wao kwa wao kama wanawake. Laiti wangelitambua hilo.
wanatembea pamoja lakini wanaharibiana sana huwezi amini
 
Mara nyingi mmoja anakuwa mbovu mwingine mkali..
Sasa yule mbovu huwa na tabia za kuharibia wana kwenye harakati
hahaha sema nimeshuhudia wengi(chuo na sekondari )wanafuatana wana mfanano fulani hasahasa kimuonekano,unakuta wote wana mizigo hatari au wote wapenda shule.

Mambo ya" A na B yote sawa" unashindwa kuchugua yupi unamtaka.

Bibi bado ananiita mchumba,babu anacheka tu
 
Habari wakuu, katika mizunguko yangu ya siku zote mara nyingi nakutaka na warembo wengi sana, ila mara nyingi huwa wanatembea wakiwa wawili hivi ni kwanini nyie viumbe mko hivyo, kwanini mnapenda kuongozana kama kumbikumbi
Huwa najiuliza ni kwamba wanaogopa mtongozo au nini?
Wakuu nyie mnaonaje?
Women hates to travel alone, know that.
 
Habari wakuu, katika mizunguko yangu ya siku zote mara nyingi nakutaka na warembo wengi sana, ila mara nyingi huwa wanatembea wakiwa wawili hivi ni kwanini nyie viumbe mko hivyo, kwanini mnapenda kuongozana kama kumbikumbi
Huwa najiuliza ni kwamba wanaogopa mtongozo au nini?
Wakuu nyie mnaonaje?
Ni kama Halima na Ester? Nafikiri ni urafiki tu.
 
My broo if you do resaerch on them you will end up on hating them or falling in love with them
 
Back
Top Bottom