Wanawake kuweni siriazi mara mojamoja basi inbox

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,585
Reaction score
2,669
Wanawake basi muwage siriazi kidogo mtu ukiona anakufata inbox basi kaacha mambo yake mengi ya msingi pamoja na muda wake kuja kuchati na wewe
ANGALIA SASA ETI HII NI CHATING INBOX
Boy: hello mambo
Manzi: p
Boy: vipi pande izo
Manzi: p
Boy: Mishe zinakwenda poa
Manzi: P
Boy: Mambo mengine yanaendaje?
Manzi: Poa
Boy: okay niambie
Manzi: Poaz
Boy: life linaendaje lakini?
Manzi: Poa tu
Boy: unaishi pande zipi
Manzi: dsm
Boy: mi pia naishi dar es salaam we upo kitaa gani
Manzi: tbt
Boy: ohoo kumbe tabata vipi lakini kwema pande hizo
Manzi: yap
Boy: kwaio tabata huko unaishi kwa mume yaani umeolewa au
Manzi: nop
Boy: anhaa kumbe hujaolewa so unaishi kwa wazazi sio
Manzi: nop
Boy: daaa aya bhana, ila nimefurahi kuchati na wewe
Manzi: k

Sasa jamani kweli huyu mtu halafu baadae aje kulalamika hapati mume wa kumuoa na kusingizia katupiwa nuksi sasa ndo nini hiki.
 
Hapo wote ni watoto ukiona demu anajibu hivyo bado unaendelea kumuongelesha wewe pia hujitambui, jambo jengine achakutumia sms kupiga story na demu kama bado hamjafikia hatua fulani ya mazoea , pia kama unataka kuchat kwa sms tuma something meaningful maana naona unarudia rudia salamu tu kama mtu asiye na dira na maongezi be straight
 
[emoji1]
 
Sasa bro hapo unavyofikiria ww iko kitu meaningful utakianzia kukiongelea wapi mana kila unapomseti aingie kwenye maongezi unakutana na vishotikati kama hivyo
 
Sasa bro hapo unavyofikiria ww iko kitu meaningful utakianzia kukiongelea wapi mana kila unapomseti aingie kwenye maongezi unakutana na vishotikati kama

Sasa bro hapo unavyofikiria ww iko kitu meaningful utakianzia kukiongelea wapi mana kila unapomseti aingie kwenye maongezi unakutana na vishotikati kama hivyo
Namba moja acha kutongoza kupitia simu unajikosesha marks unaonekana mshamba, namba mbili tumia sms na mtu ambaye mmezoeana, namba tatu kwa mtoto wa kike ambae yupo age ya ujana wanaume wengi wanatumia njia kama yako ya kishamba kutongoza , demu anaamua kukujibu shit akijua kabisa nia yako ni ipi anaona unavyojibaraguza tu kuondoa usumbufu anaamua kukukatisha tamaa mapema kwa kukuonesha hayupo interested na swaga zako, kama unataka kuwa wa kipekee kidogo piga simu kama mnaishi mbali , kama yupo karibu mtafute uso kwa uso inaonesha upo serious angalau sio kutuma vijumbe ukiwa umejifunika shuka .
 
Mkuu una moyo maana mimi nisingeweza kushapaza vidole kwa majibu hayo kwa kweli
 
Hapo wote ni watoto ukiona demu anajibu hivyo bado unaendelea kumuongelesha wewe pia hujitambui, jambo jengine achakutumia sms kupiga story na demu kama bado hamjafikia hatua fulani ya mazoea , pia kama unataka kuchat kwa sms tuma something meaningful maana naona unarudia rudia salamu tu kama mtu asiye na dira na maongezi be straight
kwenye u straight hapo ndio hana
 
Namba moja acha kutongoza kupitia simu unajikosesha marks unaonekana mshamba, namba mbili tumia sms na mtu ambaye mmezoeana, namba tatu kwa mtoto wa kike ambae yupo age ya ujana wanaume wengi wanatumia njia kama yako ya kishamba kutongoza , demu anaamua kukujibu shit akijua kabisa nia yako ni ipi anaona unavyojibaraguza tu kuondoa usumbufu anaamua kukukatisha tamaa mapema kwa kukuonesha hayupo interested na swaga zako, kama unataka kuwa wa kipekee kidogo piga simu kama mnaishi mbali , kama yupo karibu mtafute uso kwa uso inaonesha upo serious angalau sio kutuma vijumbe ukiwa umejifunika shuka .
We jamaa unazingua sasa umemwendea manzi inbox unataka kumpigia kwa namba gani hapo. Yani hapo ndo hatua ya mwanzo hata namba yake hauna ndo uko kwenye process nzima ili badae upate namba yake. Yani wewe maelezo yako ni kama endapo sasa ashakupa na namba sasa kumpigia ni process ya pili lakini kwa sasa tunadili na hiyo process ya kwanza kabisa haya lete maneno mengine sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom