Ushawahi kujibiwa majibu ya mkato na mpenzi wako?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
Katika harakati za mahusiano, kuna kile kipindi mtu hua unapitia, unampenda mtu kweli kweli. Unaumia sana kwa mambo anayokufanyia lakini yeye hajali.

Unamuona yupo Online lakini hajibu text na wala hajali. Katika kipindi hicho, mtu unajikuta muda mwingine unamuandika sms ndefu kweli huyo unayempenda ukionesha hisia zako na namna anavyokuumiza. Lakini anakujibu shortly "poa" au hakujibu kabisa.

Je, umewahi kujibiwa jibu gani ambalo lilikuumiza ama kukukera mara baada ya kujipinda kumtumia sms ndefu unayempenda?

"Cheers kwetu sote ambao siku hizi hatupotezi tena hamu ya kula kisa kuachwa au kuachana. Tunapiga msosi like nothing Happened!"
 
Ukishaona unajibiwa hivyo vi short sms ujuwe kuwa hakuna mapenzi hapo,ila wanaume wengi wana tabia ya kulazimisha,mwisho wa siku unajikuta unatumia pesa nyingi na kutendwa,hatimaye unaishia kulialia eti ooh nilikugharamikia sana,be careful you guys...
 
Kuna watu huwa wanadai wamekufa na kuoza :)
 
Wakishakuzoea sana wakakumudu wanakujibu chochote ila katika utawala wangu mie ntawafanya chochote 😂!!! Mwanamke anajua kabisa akileta fyoko anakula umeme
 
Back
Top Bottom