Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

Quetzal

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
6,345
Reaction score
10,841
Habari,

Kwasasa nipo single (Mtasema tangazo, whatever)

Ila Kuna mtu anataka tuwe na mahusiano. Ila huyu mtu anasema yeye lengo moja wapo lakuwa kwenye mahusiano ni Kwamba lazima umfulie nguo na kumfanyia usafi kila week.

Mimi naona Haya majukumu nayabeba kama nani?

Je, ni sahihi kumfulia nguo mtu ambaye hujui hata future yenu huko mbele ikoje?

Nawasilisha.
 
Mnapimwaga na mambo madogo sana halaf huwa mnaangukia pua.

Binafsi sipendi kum'bebesha mtoto wa mtu majukumu ambayo siyo yake kabla hajawa Mke Rasmi, ila jifunzeni kubebeba majukumu ya kiuwanawake. Kumbukueni kuwa na tamaduni za Kiafrika.

MUHIMU:- Tarehe 28 msifanye makosa tenaa ndugu zanguu.

Chagua LISSU m'beba Maono
 
Unataka uwee unaendaa kupigwaa mpini na kusepa ausio???? Kama sex hata malayaa anaweza mpaa.. Una offer nini cha ziada kwake zaidi ya kupanua mapaja??
Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.

Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?
 
Hahahhaa nishajua ww ni wale wanawake wa aina gani!

Kwahyo asa ivi ndo unamuona yy ni kajamba nani? Hongera sana kwa huyo Baharia maana miti kashaitembeza, sasa ni muda wako kutoa povuu
 
Ok,Asante kwakuchangia.
Mtu ukimpenda utapenda kila kitu unfanyie wewe kwa mapenzi coz unampenda sana. Yaani hata asingekuomba mwenyewe tu ungejikuta.

Lakini pia haa yeye hapo hakupendi hope kashakueleza lengo la yeye kukufuata uwe kinda kijakazi wake ambalo kwa mtu akupendae kwa dhati kabisa hawezi kukutamkia maneno hayo. So endeleeni kupotezeana muda wakati kuna watu siriaz mngepata mkafanya maisha
 
Nashukuru kwa ushauri
 
CreditAnalyst Inategemea na aina ya mahusiano mliyonayo, kama mpo serious na mna plan ya future basi hapo ni mtego umepewa, jiongeze. Ila kama ni haya mahusiano ya kimjini mjini mpo kwaajili ya kuchangamsha maumbile yenu basi hamna haja ya kufanyana madobi.,unless ufanye kwa matakwa na mapenzi yako tu.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Back
Top Bottom