Wanajamvi,
Kwanza nikiri kuwa, nimekwisha tumia Puturu maarufu kama vumbi la Kongo ili niweze kupiga show extraordinary!
Kwa ilichonifanya Puturu, Kusema kweli nimeacha kabisa sitotumia tena...
Msaada nina mke ananipa changamoto sana yaani hana kazi mama wa nyumbani lakini utakuta nguo ameloweka kwenye dishi toka asubuhi mpaka usiku utakuta narudi usiku toka kazini saa tatu ndio yupo...
Ni wanawake wachache sana wanaweza kuukwepa mtego wa pesa za mwanaume anaehitaji kuwa na mahusiano nao.
Hii ni kwasababu pesa hio ndio tatizo kuu la dunia, tunaitafuta kila siku na ni ngumu...
Habari wanajanvi
Nashukuru Mungu tangazo la kwanza lilipokelewa vyema na mhusika anachanganua kwa utulivu. Leo Kuna kitu tofauti kidogo na nimetafakali Sana kwa kina Kama Ni saidie huyu Dada kwa...
Yo what's up? Kuna girl fulan mkali mkali ile ile. Huyu girl nina uhusiano nae wa kimapenzi kwa muda wa miezi 6 sasa. Tulipoanza uhusiano na huyu girl mi nlidhani maybe she's single, lkn baadae...
Habari za leo watanganyika wenzangu?
Jumamosi iliyopita tulikuwa na mwaliko wa harusi,sasa basi my wife akaniambia nikimaliza mizunguko yangu nimpitie ofisini kwake ili twende wote home...
Wakulungwa Kuna tofauti gani kubwa kiviiiiiiiiiiileeee Kati ya Hawa vijana wawili.
1. Ana watoto hajafunga ndoa na anaishi vizuri na mkewe na Wana watoto wazuri tu na wanatarajia kufunga ndoa...
Chumba single Self ni chumba kimoja chenye choo ndani yake. Kwa mpangaji wa nyumba au mtu alowahi kupanga vyumba atakuwa wanamielewa sawa sawa.
Wapangaji wengi hapa mjini wanatafuta vyumba self...
Nimeoa mwanamke kimeo hatari,changamoto ninazozipitia kwenye ndoa yangu naamini hata shetani ananionea huruma.Nimemtembelea dada yangu nina wiki Sasa nipo hapa kwao,yeye na mumewe na watoto wao...
Habari Wana JF
Ninaishi na mke wa watoto wetu wadogo ambao ni mapacha wana mwaka mmoja.
Nimekuja hapa kuomba msaada baada ya kuona kuna mambo hayaniendei sawa tofauti na mwanzo. Nilipooana na...
Mwanaume Muitalia alitoroka nyumba yake ili kutuliza jazba baada ya kupigana na mke wake - kwa kusafiri mwendo wa kilomita 450 kwa miguu.
Mitandao ya kijamii ya Italia haka imempa jina la...
Kataka uchunguzi wangu usio rasmi nimegundua mara nyingi wanawake huwa wanataka haki sawa kama wanaume katika nyanja zote za kimaisha, I means kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Ila kinachonishangaza...
Dunia yetu ya leo inawiwa na baba wote ambao wameonyesha ubora. Ambao wamewalea watoto wao katika maadili mema. Ambao pamoja na kuwa ndoa zao sio kamilifu, walikataa kuwa wanyanyasaji, kuwapiga...
Ujauzito ni baraka na furaha kwa familia lakini huwa unaambatana na changamoto zake kwenye baadhi ya familia.
Jana jioni mke wangu aliniambia ana hamu sana ya soda baridi aina ya Pepsi...
Sitaki kukubali kua mimi na mwanamke tuko sawa, hii habari ya 50/50 it's a whole complete stupidity package. I dont want to see, smell or feel.
Huu ujinga wa usawa hautakuja tokea na sote tunajua...
Habari za muda huu wadau!!!
Aisee kuna denti mmoja baada ya kumaliza kidato cha nne kaja kukaa hapa home kwa ndugu yake ambaye ni mpangaji katika nyumba tunayoishi.
Sasa katika kuzoeana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.