Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,648
- 75,732
Salaaam.
Kuna wanawake wengi tu kwa kudra za Mwenyezi Mungu wamejaaliwa maisha sio mabaya wamepanga au wamejenga na wanabadilisha mboga kila siku.
Bahati mbaya walipata watoto ila wakashindwana na baba wa watoto. Maisha yanaupweke, nao wanahitaji kupendwa na kufanya kale kamchezo katamu.
Sasa wale wenye watoto wa kike utaskia mwanao anamuita boy friend wako uncle uncle usituamini saana sisi wanaume. Mwanao unakuta yupo 16 hawa wajomba wakija nyumbani sio wote watamuona binti yako mtoto ataonyesha heshima ukiwepo.
Siku akija mwenyewe atafanya mengine. Kuna jirani yangu mama na mtoto wote wamepewa mimba na uncles uncles mama hajui cha kufanya kachanganyikiwa.