Nilitumwa na mteja wangu mmoja kumtafutia mume huku nikaweka masharti tu ya kueleweka
Matokeo yake nimeingia fedheha kubwa kumbe mwanamme niliempeleka ana mke na watoto 3 hawajaachana tena wanaishi pamoja.
Inakuwa ngumu kwa vijana kutumia fursa ya forum hii kupata wenza kwa sababu wengi sio waaminifu.
Mtu umeoa una mke unataka nini tena ?waachie wenye shida zao.
Kwenye forum hii ukitaka kumshtaki mtu serias unapeleka wapi malalamiko? nadhani adhabu kali itolewe kwa hawa watu