Wasalaam wanajukwaa hili pendwa.
Niende moja kwa moja kwenye swali, naomba kwa wazoefu ambao mmeoa wanawake wasomi kuanzia shahada ya kwanza (Bachelor's degree) kuendelea, wana changamoto gani...
Wadau MMU kwema!
Eti naomba kuuliza, lakini kabla ya swali nimzungumzie huyu rafiki yangu maana ndo kasababisha nimekuja kuhoji ili kama anakosea nimwambie au kama ni sahihi pia aweze kuendelea...
Mahusiano yoyote yapo stage 3
1/Urafiki_ mwanaume yoyote ili awe karibu na mwanamke huvutiwa na muonekano wake
Muonekano hupelekea kuvutiwa na aina fulani ya wanaume
Kila aina ya muonekano ya...
Habari zenu wana-MMU.
Nataka maoni yenu katika hili swala. Swala hili linaonekana la ajabu kutokana na mila na tamaduni zetu za ki-Afrika ila SIO DHAMBI kabisa.
Mimi siitaji kuja kuwa na mtoto...
Habari
Kuna mdada kaja kuomba ushauri nami nikaona sio mbaya nikawashirikisha na nyie.iko hivi huyu manzi alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na jamaa mmoja hivi sasa baadae huyo jamaa akamtosa...
Habari zenu watu wa humu.
Leo nikasema niulize swali, huenda tukajua na kupata hekima ya jambo hili.
Swali liko wazi na jambo hili huwa tunaliona sana. Kwanini hali huwa iko hivi?
Karibuni...
1- Anakua anamuamin sana
2-Anakua na subira juu yake, mf Km ni bikra hata mlazima ku sex tho anaweza kua anatembea na wengine ili asimsumbue yule wa malengo.
3- Baadh shida na matatizo ya mwanake...
Hizi lawama za wanaume wa siku hizi ni dhaifu zimezidi sana mitaani.lakini wanawake nao wanashindwa kuelewa kuwa wana mchango mkubwa sana katika jambo hili.
Miaka ya nyuma mazingira ya kumpata...
Namnukuu..." Cheating on your Wife doesn't mean that you don't love her but it is like hiring a Taxi while you have your own Car at home. It saves tyres and reduce mileage ".
Kwa tafsiri iliyo...
miaka ya nyuma mapenzi yalikuwa na raha yake.. ilikuwa ili upate mtoto /binti mzuri (miaka hiyo hatuiti demu) unatakiwa uwe na udambwi dambwi mwingi wa maneno. uwe na maneno kama asali kwa huku...
Tulikuwa na mjadala hapa kuhusu "KWANINI MANDELA HAKUMSAMEHE WINNIE MPAKA KUFA?".Tulijadilana mambo mengi sana.Lakini Malema amekata mzizi wa fitna,katika tukio katika siku hizi za...
Habari za weekend wana familia,poleni na majukum ya kila siku.Aise nilipata nafasi kadogo nikaamua niende zanzibar (Unguja) nikaone na mimi lilivyo ,nilikuwa naisoma tu na kusherekea Muungano bila...
Nimefanikiwa kukutana na kukaa a vijana na washikaji tofauti vijiwe tofauti ila ma jobless wanaongoza kwa kuwaza ujinga sana kuliko namna ya kujikwamua katika hali alio nayo
Unakuta ni kijana...
Ndugu yangu anaishi mkoa mmoja km karibu 700 toka yalipo makazi yake huku anafanua kazi. Huku kamuacha mkewe, Kwa kuwa ananyumba kumbwa na nyingine za kuzunguka amepangisha wapangaji kadhaa. Mmoja...
Niko saluni hapa nimemleta dogo kufanya manicure na pedicure
Kuna dogo hapa same age with my kid almost 3 years Yuko mkorofi balaa, wakati tunajiuliza huyo mtoto vipi kaja baba yake kumchukua...
Wachumba, Marafiki nawapa salaam kwenu.
Kwa wakristo nashauri tusome Luk 14:28 ili twende sawa. Kwa dini nyingine na wasiokuwa na dini twendeni na msamiati huu.
"Ukitaka cha uvunguni sharti...
Niko kwenye Abood kuelekea Moro saa hii, siti ya pembeni kuna Dada a naongea na bwana ake ( kwa simu) anamwambia bwana ake kuwa yupo Bagamoyo daaah hahahahaaa.
Ewe baharia kama ulikua unaongea na...
Since time immemorial, the men folks have always been attracted to women with banging body that turns head. This reason is not far fetched because men tend to be more attracted to women with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.