Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,404
- 1,517
Kataka uchunguzi wangu usio rasmi nimegundua mara nyingi wanawake huwa wanataka haki sawa kama wanaume katika nyanja zote za kimaisha, I means kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Ila kinachonishangaza katika suala la mahusiano wanataka wa-treat
-iwe kama special group, sijajua kwa nini. Maana ikiwa una mpenzi wako wa kike(ukiondoa mke) atataka umuhudumie kama mlemavu yaani chakula, mavazi, malazi na vatu vingi vya anasa.
Cha kushangaza wanakuja na simple argument eti mwanaume ni jukumu lake kuhudumia tena kwa kulazimisha(shinikizo la kimapenzi) pia ni one direction flow of serves, eyi wanawake punguzeni hayo mawazo potofu maana najau kuacha kabisa humuwezi kumbukeni tupo zama za ubepara (if you don't work, you don't earn anything)